Hakuna kazi ngumu kama kudelete WhatsApp mobile numbers za michepuko ya MMU!

Sasa hivi nimeiweka simu mbali, maana nikiiangalia hivi napata hasira.
Kuunistall whatsapp na kureinstall hakufuti namba mkuu bali msgs. Cha kufanya futa namba kwenye contact na hakikisha zimefutika na kwenye goigle account pia.
Unamalizia na kufanya recovery ya simu.
 
Eti!!! Namba 500 toka MMU? Alafu anasema ni michepuko, ko itakua wasichana... Wasichana 500 wote namba zao za nini? Mda wa kusoma threads anapata kweli kama zi yake ni kuomba namba!?
Alafu anatudanganya eti kazichukua tu, hawasiliani nao!
 
Kuunistall whatsapp na kureinstall hakufuti namba mkuu bali msgs. Cha kufanya futa namba kwenye contact na hakikisha zimefutika na kwenye goigle account pia.
Unamalizia na kufanya recovery ya simu.
Paprika
 
e1fe8f47acaeff3f7a5998c5de5d80d4.jpg

Aisee
 
Back
Top Bottom