Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,606
HahahahaaSaaana,.hasa kilimo cha mkono,.ni kirahisi kwelikweli...
Wakupe na vipeperushi vyao sasa! Mapicha kibao, ingia field ndio utajua kwa nini mkulima anazaraulika sana.Kilimo cha kwenye PDF bana, rahisi sana
Heka moja ya matikiti ina uwezo wa kutoa matikiti 10,000 ambapo kila kitikiti ukiamua kuuza kwa bei ya haraka ni 2,000Tshs kwahyo ukichukua idadi ya matikiti 10,000 X 2,000Tshs = 20M ukitoa laki 4 ya uzalishaji unabakiwa na 19.6M
Sent using Jamii Forums mobile app
BuahahahhahhKilimo cha kwenye PDF bana, rahisi sana
Heka moja ya matikiti ina uwezo wa kutoa matikiti 10,000 ambapo kila kitikiti ukiamua kuuza kwa bei ya haraka ni 2,000Tshs kwahyo ukichukua idadi ya matikiti 10,000 X 2,000Tshs = 20M ukitoa laki 4 ya uzalishaji unabakiwa na 19.6M
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaHayo ndo maneno ya akina Ruge, shigongo, Nick II na wahuni wenzao wengi ambao hawana hata viunga vya maua kwao ila kwenye mahesabu ya kilimo na biashara tofauti wako vizuri ili kuchukua elfu 10 10 zetu za kiingilio kuwasikilza.
Hiyo sentensi ya mwisho ni utata. Binafsi ni mkulima tena mzoefu. Sikubaliani nawe kuwa "hakuna kazi rahisi kama kilimo".Kilimo ni kazi inayotoa sana. Ukilima ukawa serious kabisa , mtumishi wa umma na kamshahara kake hamna kitu kabisa. Ukilima maeneo yenye maji yanayotirika kwa gravity muda wote unatoka haraka sana.Na ukizingatia mazao mengi yanachukua miezi 3 mpk 5 tayari hela ipo makalioni.
Kilimo cha umwagiliaji kwa mifereji ya asili ni kizuri sana. Mbogamboga hasa vitunguu vinatoa watu sana.
Hakuna kazi rahisi kama kilimo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha.Kilimo cha kwenye PDF bana, rahisi sana
Heka moja ya matikiti ina uwezo wa kutoa matikiti 10,000 ambapo kila kitikiti ukiamua kuuza kwa bei ya haraka ni 2,000Tshs kwahyo ukichukua idadi ya matikiti 10,000 X 2,000Tshs = 20M ukitoa laki 4 ya uzalishaji unabakiwa na 19.6M
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaota wewe kulima kazi rahisi, ujawahi kushika hata jembe, Mananasi yanavyo choma miba yake ukitoka hapo unauza Mia tano moja.Kilimo ni kazi inayotoa sana. Ukilima ukawa serious kabisa , mtumishi wa umma na kamshahara kake hamna kitu kabisa. Ukilima maeneo yenye maji yanayotirika kwa gravity muda wote unatoka haraka sana.Na ukizingatia mazao mengi yanachukua miezi 3 mpk 5 tayari hela ipo makalioni.
Kilimo cha umwagiliaji kwa mifereji ya asili ni kizuri sana. Mbogamboga hasa vitunguu vinatoa watu sana.
Hakuna kazi rahisi kama kilimo
Sent using Jamii Forums mobile app