miaka 2000 ijayo namimi nitakuwa muhenga.Mnakana misemo ya wahenga wazee
miaka 2000 ijayo namimi nitakuwa muhenga.Mnakana misemo ya wahenga wazee
Woyiiiiiiii 😭🤕Jiwe limerushwa gizani, tunasubilia sauti tu.😃😄
Maisha ni marahisi sana pale ambapo pesa zinakuwa zinakutumikia.....Maisha sio marahisi hivyo!
dah wengine tunalala saa Saba usiku,saa kumi na mbili asubuh tupo kwenye mishemishe halaf tupo choka mbaya naamin kufanikiwa ni blessing tu za MUNGU nothing more
Mkuu,usikute hao wanaotukana hata bando tu lenyewe kapewa,hayo ndio maisha ya mtandaoni😀😀,kila mtu ana gari nzuri,nyumba,biashara na mke mzuri.Asantechief, humu kuna watu naona wanajimwambafy kwenye comment kuwaambia wengine ni maskini au awatafute.. wakati wote tuko nyuma ya keyboard hakuna anaejua maisha ya mwenzake
Noma sana.........Umenikumbusha shule kuna kijamaa prepo ya usiku haingii kazi yake ni kulala tu yaan ukitaka kumpata iwe usiku au mchana we zungukia vitandani utamkuta kalala cha kushangaza kila mitihani ukija katusua kuzidi hata wanaokesha kusoma, Sasa wewe jifanye kumgeza uone. ila nilikuja kugundua jamaa ni mtu wa mipango sana na sio kwamba hasomi kabisa
Jinsi ya kutafuta helaAisee vijana wenzangu
Unajua watu tunashindwa kuelewa uvivu ni nini in such au tunajitia kutokuelewa?
Kuna uvivu wa kutenda (kufanya kazi kwa vitendo na ule uvivu wa kufikiri sasa ndugu yangu wewe endelea kusema mwenzio mvivu kutwa kushinda hapa JamiiForums, wakati yawezekana mwenzio ni mvivu wa kutenda haonyeshi kujishughulisha tu
Lakini kumbe mwenzio genius wa kufikiria na kupanga karata zake kichwani anashinda analala ,yuko mtandaoni 24/7hrs, anakula bata na ana mingle kila kijiwe na life linatembea kwa reli kama mtoto wa chifu huwezi jua hatufanani.
Ukiwa nyuma ya keyboard epuka kuona wenzako maskini, kisa unawaona hapa kwa kila comment..ohoooo
Narudia,usiige mtu hatufanani fuata njia yako. Utakufa unalaumu kama mfuasi wa kibwetele
Shauri yako.
Good. Umenena vema mkuu, siyo wote wakaokuelewa maana wapo waliofanikiwa ila mpaka sasa hawajatambua mchango wa ulimwengu wa kiroho mpaka kufika hapo walipo.Ila usicheze mbali na ulimwengu wa roho