deecharity
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 936
- 515
Kuna software nimeinstall yaitwa 3broadband connecting mobile iko poa. Na nlikua natumia modem ya vodacom bt now hata nikiweka chp ya airtel kwenye modem ya voda inafanya kazi kama kawaida... Co voda tu hata wenye tigo pia.
Modem za zantel zilizokubali n zipi? zile EC220 or?hata zantel inakubali,ila modem inapata moto sana ukitumia zantel
Modem za zantel zilizokubali n zipi? zile EC220 or?
\\Kuna software nimeinstall yaitwa 3broadband connecting mobile iko poa. Na nlikua natumia modem ya vodacom bt now hata nikiweka chp ya airtel kwenye modem ya voda inafanya kazi kama kawaida... Co voda tu hata wenye tigo pia.
nenda google utaidownload krahc sana mkubwa.
Mkuu mi naona ungeweka hapa link ya ku download hiyo software ungewasaidia sana watu hapa JF
Wewe mtu wewe, yaani mtu akagoogle nini? si useme nenda google tafuta xxxxxxnenda google utaidownload krahc sana mkubwa.
Acheni kuchakachua mbona wa tz, tunapenda sana mambo ya mbinumbinu, mi nashauri ya voda iwekwe voda na tigo pia hata zain na zantel. asanteni. na kwaherini kwa sasa.
Acheni kuchakachua mbona wa tz, tunapenda sana mambo ya mbinumbinu, mi nashauri ya voda iwekwe voda na tigo pia hata zain na zantel. asanteni. na kwaherini kwa sasa.
The best option weka link,nimegoogle zimekuja nyingi sana na zinagoma kufungukanenda google utaidownload krahc sana mkubwa.