Hakuna dawa ya mapenzi!

Hakuna dawa ya mapenzi!

Meja vitalis

Member
Joined
Aug 7, 2013
Posts
32
Reaction score
14
Walio wengi hushindwa kujua kuwa biashara ni matangazo,na sio kila anayetangaza basi anabiashara ya kweli,wengine ni mbinu ya kujiinua kimaisha maana bila akili huwezi kuendana na changamoto za mjini.Kuna jamaa mmoja kamfukuzia demu kwa takriban miezi nane bila mafanikio,baada ya kuona hivyo akaamua kwenda kwa mganga ili aweze kumnasa huyo demu,mganga alimpa dawa fulani na kumwambia aondoe shaka kwani demu atakuja mwenyewe!.sasa hivi anajuta kwanini ametumia zile dawa maana anachukiwa na kila mwanamke/msichana na kila anayemtongoza anamkataa na kuambulia matusi tu!!! MJINI SHULE! "never dis!,full cudos!,peace&love"
 
Kama alitaka demu wa kusex naye sidhani kama kuna dawa, kama alitaka kuoa basi we kama muislam kweli sio muislam jina, soma dua hili afu njoo uniambie.

Below this is the Dua for a Male to recite:
Rabbi innee lima anzalta ilayya min khayrin faqeerun
"My Lord! truly, I am in need of whatever good that You bestow on me!"

The above Dua was made by Musa (.a.s) while in exile, he was in his utmost point of need, of isolation, of loneliness At that time of depression, He reached out to Allah, to his Lord and said the above.

Read this 100 times a day and when you find her stop reading it.



Below this is the Dua for a Female to recite:

Females should recite for a husband the whole of Sura dhuha (sura 93) 11 times .

Waaldduha
Waallayli itha saja
Ma waddaAAaka rabbuka wama qala
Walalakhiratu khayrun laka mina aloola
Walasawfa yuAAteeka rabbuka fatarda
Alam yajidka yateeman faawa
Wawajadaka dallan fahada
Wawajadaka AAailan faaghna
Faamma alyateema ---- taqhar
Waamma alssaila ---- tanhar
Waamma biniAAmati rabbika fahaddith

By the Glorious Morning Light,
And by the Night when it is still,-
Thy Guardian-Lord hath not forsaken thee, nor is He displeased.
And verily the Hereafter will be better for thee than the present.
And soon will thy Guardian-Lord give thee (that wherewith) thou shalt be well-pleased.
Did He not find thee an orphan and give thee shelter (and care)?
And He found thee wandering, and He gave thee guidance.
And He found thee in need, and made thee independent.
Therefore, treat not the orphan with harshness,
Nor repulse the petitioner (unheard);
But the bounty of the Lord - rehearse and proclaim!

Kama Quran inavyo sema katika Quote nazokuwekea hapo chini, basi ndio ujumbe huo.


"Indeed, Allah will not change the condition of a people until they change what is in themselves." (Quran 13:11)


"And those who struggle in Our cause, We shall certainly guide them to our paths. For verily Allah is with those who do right." (Quran 29:69)
 
Kwa nini wahangaika kutafuta dawa za mapenzi kwa waganga (ta la la la)
Madawa yasiyopimwa yaweza kumuumiza mwenzio mama (ta la la la)
Kwanza jiulize kwa nini hupendeki siku hizi mama (ta la la la)
Mbebeleze bwanako muishi pamoja usitumie dawa.

Source: Mbaraka Mwishehe Mwaruka
 
^^
Heri yangu nimeridhika namna nilivyo..kupenda au kupendwa yote yanapita.
^^
 
Walio wengi hushindwa kujua kuwa biashara ni matangazo,na sio kila anayetangaza basi anabiashara ya kweli,wengine ni mbinu ya kujiinua kimaisha maana bila akili huwezi kuendana na changamoto za mjini.Kuna jamaa mmoja kamfukuzia demu kwa takriban miezi nane bila mafanikio,baada ya kuona hivyo akaamua kwenda kwa mganga ili aweze kumnasa huyo demu,mganga alimpa dawa fulani na kumwambia aondoe shaka kwani demu atakuja mwenyewe!.sasa hivi anajuta kwanini ametumia zile dawa maana anachukiwa na kila mwanamke/msichana na kila anayemtongoza anamkataa na kuambulia matusi tu!!! MJINI SHULE! "never dis!,full cudos!,peace&love"

Huyo jamaa ni wewe mwenyewe. Pole sana kaka
 
Uchawi ni kuonyesha mapenzi teleeee
 
umona enhe! af mwanaume ukioga na kujiheshimu unaweza kuwachenga madem mpaka wakakom! KUDADEK!
 
UNAJUA wasichana wameumbwa ili siku moja waitwe wanawake! sasa bila kuwatongoza na kuwapenda unataka waolewe na mawe? all in all WAPO ILI TUWA ENJOY!! YOU HAVE TO ENJOY THEM!!
 
UMEONA ENHE!! ukioga na kujipaka lotion nzuri,pafyumu matata na ukavaa kwa heshima,,,,husipopata UKIMWI lazima uijaze dunia kwa kuwa na watoto weng!! UTAPENDWA WEWE!!!!!!!!!!!
 
Wengine hawajui kuoga wanajimwagia maji tu!! Kwa hali kama hyo huwezi kupendeka!!! Af msichana ni kama daradara, akikupiga chini inabidi utafute mwingine!
 
Back
Top Bottom