wabungenjaa
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 1,782
- 337
Vilivyopo havijaiva na havijakomaa. Bado vichanga. Vinafanya siasa maji taka. Ubabe na kusubiri matukio. Huu ni mwaka muhimu wa uchaguzi wa kubadilisha dola kwa maana kwamba serikali iliyopo imefika muda wake kidemokrasia...hata hivyo wananchi bado wana imani kubwa na chama kilichounda dola iliyopo na wanaahidi kukipa ushindi mnono hapo octoba 2015.
Navishauri vyama vilovyopo vijipange vizuri ili 2025 angalau vipate wabunge wa kutosha ili 2050 vishike dola (God forbid).
Navishauri vyama vilovyopo vijipange vizuri ili 2025 angalau vipate wabunge wa kutosha ili 2050 vishike dola (God forbid).