wabungenjaa
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 1,782
- 337
- Thread starter
- #21
Uchaguzi wa serikali za mitaa za mitaa umeonyesha kuwa watz bado wana imani kubwa na chama chao pendwa ccm. Hata hivyo hakuna chama cha upinzani kilicho imara..vyote ni legelege na ni saccos likewabungenjaa ndugu unaishi kwenye ndoto, Tanganyika ya wapi!!
Watu wameisha wachoka MaCCM, wanasubiri wawape dozi, come 2015 Oct!!
Last edited by a moderator: