Hakuna cha bure duniani.

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,034
Jamaa alipoamka asubuhi kutoka usingizini alijikuta kawekewa noti ya sh.5000 masaburini kwake ikiwa imekunjwa kama msokoto wa tumbaku au bangi.Jamaa hakuumiza kichwa chake,alichukua ile hela na kuitumia.Siku ya pili alipoamka akajikuta na noti ya sh.10000,akaichomoa na kuitumia kiroho safi.Siku ya tatu jamaa akiwa usingizini akawa anahisi kitu kigumu kinajaribu kumpenya 0713 kwake.Kwa sababu ya ugumu wake jamaa akahisi litakuwa ni bunda la milioni linataka kuingia masaburini kwake,akaanza kukata mauno ili liingie vizuri.(malizia mwenyewe,mimi nimesahau kidogo...).
 
umeiwasilisha vyema mtandaoo...
hapo pakumalizia mimi mwenyewe ni mgeni...
 
Aliposhtuka akakuta bunda minotiiii. Hahahaaaaaaa
 
Usije mtoa ktk swaumu mie, ngoja niichunie japo jibu nalijua sana...
 
Hio ilikula kwake. Itakuwa siku hio kakutana na noti bandia.
 
Huyo atakuwa nonihino...... Alikuta bunda la Zim-Dollars.
 
Alipoamka akakuta fedha aina ya fluid na sio noti wala coin tigoni
 
bunda la noti ambalo limeyeyuka........likawa majimaji......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…