tian
JF-Expert Member
- Jul 27, 2007
- 1,770
- 538
What do you mean by saying "don't judge"?
Did i judge anyone?
Kuna swali la msingi hapa unaliruka either maksudi au bahati mbaya
Kwanini hujiulizi "Kama angekataa"?
Kufuatwa na mtu kukutaka kimapenzi sio ndio ukubali tu
Kila aliyekutongoza wewe tian umemkubalia?
Kama hapana,kwanini?
Acha kutetea mambo ya hovyo
Kila binadamu ana udhaifu wake
Lakini huo udhaifu sio tiketi ya kufanya mambo ya hovyo namna hii
Huenda hujasoma kisa cha huyo jamaa alivyomvua chup.i huyo dada mjing.a
Hebu soma halafu uje uniambie kama huyo dada alitumia hata nywele kufikiri achilia mbali ubongo
Who is mapadri dada?
Mapadri ni Allien au kitu gani hadi uwatolee mfano?
Hujui nao ni binadamu kama wengine?
This type of thinking is dangerious
Kwanini usiwe gheresha kama ni wa hovyo?
Ukishaitwa binadamu ni lazima ufuate kanuni
Hakuna binadamu aliye juu ya kanuni hata apewe jina gani na zuri kiasi gani
Kama hata hili hujui basi una khatari kubwa!
Huo Ndo Udhaifu Wenyewe.
Kama binadamu wote wa hii dunia wangefata kanuni basi,dunia ingekuwa sehemu salama ya kuishi
Last edited by a moderator: