Hakuna binti mgumu... real experience

Hakuna binti mgumu... real experience

kweli wewe walinazi bila shaka wasubiri kupakuliwa...

Unajisifu kwa kufanya dhambi na kumsababishia mwingine kufanya dhambi!!!

Kibaraka wa shetani wewe majinuni mkubwa...

Yaani ukisikia maagent wa shetani, wala usianze tafuta mwenye mapembe au freemason ni watu kama hawa. Ni wakuogopa kuliko ukimwi.
 
Kweli jamaa ni WaliNazi!
kweli wewe walinazi bila shaka wasubiri kupakuliwa...

Unajisifu kwa kufanya dhambi na kumsababishia mwingine kufanya dhambi!!!

Kibaraka wa shetani wewe majinuni mkubwa...
 
Last edited by a moderator:
Kwa Hiyo Umeona Ufahari Kumfanya Mwenzio Aanguke Dhambini??
Mungu Akurehemu Kwa Kuwa Hujui Ulitendalo
 
Unategemea mwisho wake ni nini? Mtu analala na wewe kwa sifa?

Mimi siwezi kutegemea chochote kwasababu huyo anaekwenda kulala na mjinga kama huyo nae ana akili timamu
Hebu soma mazingira mazima hadi anakwenda kuvuliwa nguo
Unaweza kuona vile ambavyo wote wamekutana na wanafanana kwa kufikiri
Unadhani huyo anaweza kuwa amesababishwa na yoyote kuvuliwa nguo?
Hapana

Huyo ni kilaza sawa na huyo aliyemvua nguo!
 
Kwa Hiyo Umeona Ufahari Kumfanya Mwenzio Aanguke Dhambini??
Mungu Akurehemu Kwa Kuwa Hujui Ulitendalo

Sio kweli
Hakuna aliyemfanya mwingine aanguke dhambini

Huyo mwanamke alikuwa anasubiria siku kama hiyo
Huo ulokole wake ulikuwa ni geresha tu!
 
umenichekesha sanaa............
sa si uneiweka yote sehem moja na sio hivo vipande vipande
 
Sio kweli
Hakuna aliyemfanya mwingine aanguke dhambini

Huyo mwanamke alikuwa anasubiria siku kama hiyo
Huo ulokole wake ulikuwa ni geresha tu!
Eiyer Don Judge Coz No One Is Perfect,
Bila Huyo Kaka Kumfata Huyo Dada Angekubali Vipi?
Wengine Tumejawa Udhaifu.
Mapadri Wanaanguka Dhambini Sembuse Huyo Dada?Nao Upadri Wao Ni Geresha Sio??
 
Last edited by a moderator:
Eiyer Don Judge Coz No One Is Perfect,
What do you mean by saying "don't judge"?
Did i judge anyone?
Bila Huyo Kaka Kumfata Huyo Dada Angekubali Vipi?
Kuna swali la msingi hapa unaliruka either maksudi au bahati mbaya

Kwanini hujiulizi "Kama angekataa"?
Kufuatwa na mtu kukutaka kimapenzi sio ndio ukubali tu
Kila aliyekutongoza wewe tian umemkubalia?
Kama hapana,kwanini?
Acha kutetea mambo ya hovyo
Wengine Tumejawa Udhaifu.
Kila binadamu ana udhaifu wake
Lakini huo udhaifu sio tiketi ya kufanya mambo ya hovyo namna hii

Huenda hujasoma kisa cha huyo jamaa alivyomvua chup.i huyo dada mjing.a
Hebu soma halafu uje uniambie kama huyo dada alitumia hata nywele kufikiri achilia mbali ubongo
Mapadri Wanaanguka Dhambini Sembuse Huyo Dada?
Who is mapadri dada?
Mapadri ni Allien au kitu gani hadi uwatolee mfano?
Hujui nao ni binadamu kama wengine?

This type of thinking is dangerious
Nao Upadri Wao Ni Geresha Sio??
Kwanini usiwe gheresha kama ni wa hovyo?

Ukishaitwa binadamu ni lazima ufuate kanuni
Hakuna binadamu aliye juu ya kanuni hata apewe jina gani na zuri kiasi gani

Kama hata hili hujui basi una khatari kubwa!
 
Last edited by a moderator:
What do you mean by saying "don't judge"?
Did i judge anyone?

Kuna swali la msingi hapa unaliruka either maksudi au bahati mbaya

Kwanini hujiulizi "Kama angekataa"?
Kufuatwa na mtu kukutaka kimapenzi sio ndio ukubali tu
Kila aliyekutongoza wewe tian umemkubalia?
Kama hapana,kwanini?
Acha kutetea mambo ya hovyo

Kila binadamu ana udhaifu wake
Lakini huo udhaifu sio tiketi ya kufanya mambo ya hovyo namna hii

Huenda hujasoma kisa cha huyo jamaa alivyomvua chup.i huyo dada mjing.a
Hebu soma halafu uje uniambie kama huyo dada alitumia hata nywele kufikiri achilia mbali ubongo

Who is mapadri dada?
Mapadri ni Allien au kitu gani hadi uwatolee mfano?
Hujui nao ni binadamu kama wengine?

This type of thinking is dangerious

Kwanini usiwe gheresha kama ni wa hovyo?

Ukishaitwa binadamu ni lazima ufuate kanuni
Hakuna binadamu aliye juu ya kanuni hata apewe jina gani na zuri kiasi gani

Kama hata hili hujui basi una khatari kubwa!

Yes U Did Kwa Kusema Hao Walokole Ni Geresha Tuu

In my Opinion that's Judging
 
Sio Allien but thy shld live an Exemplary life,
Coz Mimi Kama Muumini I don't Expect Padri Awe Hivyo!!!

Nimeamua Kutumia Huo Mfano Wa Mapadri coz hata Wao ni Dhaifu na Hujikuta wameanguka dhambini
Wewe kusema huyo dada wa kilikole ni geresha ndo umechukulia kama yy ni extra-Ordinary Na Hawezi Anguka kwenye Uzinzi
 
Last edited by a moderator:
What do you mean by saying "don't judge"?
Did i judge anyone?

Kuna swali la msingi hapa unaliruka either maksudi au bahati mbaya

Kwanini hujiulizi "Kama angekataa"?
Kufuatwa na mtu kukutaka kimapenzi sio ndio ukubali tu
Kila aliyekutongoza wewe tian umemkubalia?
Kama hapana,kwanini?
Acha kutetea mambo ya hovyo

Kila binadamu ana udhaifu wake
Lakini huo udhaifu sio tiketi ya kufanya mambo ya hovyo namna hii

Huenda hujasoma kisa cha huyo jamaa alivyomvua chup.i huyo dada mjing.a
Hebu soma halafu uje uniambie kama huyo dada alitumia hata nywele kufikiri achilia mbali ubongo

Who is mapadri dada?
Mapadri ni Allien au kitu gani hadi uwatolee mfano?
Hujui nao ni binadamu kama wengine?

This type of thinking is dangerious

Kwanini usiwe gheresha kama ni wa hovyo?

Ukishaitwa binadamu ni lazima ufuate kanuni
Hakuna binadamu aliye juu ya kanuni hata apewe jina gani na zuri kiasi gani

Kama hata hili hujui basi una khatari kubwa!

Wala Sipo Kwenye Hatari,Ndo Maana Toba Ikawepo,

Tatizo wewe unaconclude tu eti Imani ya huyo mdada ni geresha bila kuona kulikuwa na kishawishi mbele yake ambacho kilikuwa kupania kuprove kwamba Ulokole wa Mtu si lolote,
Msiwahukumu Watu Kwa Imani Zao Sio Jambo Jema?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom