WaliNazi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 851
- 96
,, Eti walokole ni wagumu.!!? Says who?
Hapa mtaani ninapokaa,kuna mabinti ambao nilikuta wamejenga jina kwamba ni ma 'untouchables', yani hakuna mwanaume anaweza walala.. ,,na kweli wana sali sana.
Basi nikajipanga.. Nikajishusha kwao,,nikaanza salimiana nao..,wakanijibu.
Nikajipanga tena... ,,nikafuatilia ratiba yao wiki nzima..,saa ngapi wanaenda kanisani na wanarudi saa ngapi?
Basi nikawa nafanya jogging kila muda ninapojua sasa huenda wanarudi toka kwenye maombi,, na kweli nikagongana nao ..siku za mwanzo,, ikapita wiki, mwezi,,
baada ya kuona wananipotezea, nikajipa ujasiri.,, nilimsimamisha mmoja wakiwa wanatoka kwenye sala.,,,
unataka kujua nini nilimwambia na alijibu nini...,?? Majasho yakinitiririka..,
nitarudi malizia,, naenda oga,, msiondoke rubirini kidogo