Hakuna anayependa kujiua.

Hakuna anayependa kujiua.

Duhh!!,leo kila nyuzi mpya 4, tatu ni 'kujiua'
 
dawa pombe tu ilo pepo la kujiua linashidwa kbsa na linalegea
Sikushauri, nimesoma juzi pombe kwa asili yake ni depressive (inachochea depression). Kwa hiyo mtu mwenye depression anapotumia pombe basi ni kama anaongeza kuni kwenye moto uliokwisha waka.
Njia za rahisi za kukabiriana na depression ni:- Kufanya mazoezi ya mwili, kula "vizuri", kutafuta mtu unaemwamini wa kuongea nae na nyinginezo.
 
Exactly fact..
 
Icho unachokipata kwa kufanya mazoezi, kuongea na watu na kula vizuri ndicho utakachokipata kwenye pombe

Sema sasa kwa vile pombe nayo ikizidi ni tatizo ndio maana wataalamu hawaishauri but believe me pombe ndio kitu pekee kinachompa mtu relief kwa haraka na uhakika sema inataka self control

Wewe umewai kuona wapi mlevi kajiua hivi unajua kwamba mtu aliyekunywa pombe anasahau yale yote yanayomkabili kwa kupumbaa

kuna rafiki yangu mmoja ni mjinga sana alijiua mwaka 2014 kisa mpenzi wake amemsaliti wiki moja kabla ya kujiua aliacha kabisa pombe na kuwa mtu wa mawazo asiyetoka nje mda wote yupo peke yake, sasa kosa alilolifanya ni kuacha pombe maana ndio ingempa relief
 
ikitokea umeanza kupata mawazo ya kujiua jua tayari ubongo & ufahamu wako hauko sawa....
 
Back
Top Bottom