Hakuna ajuaye kesho yake

Tatizo hamjui kusoma!

هُوَ الَّذِي بَعَثَ فِي الْأُمِّيِّينَ رَسُولًا مِّنْهُمْ يَتْلُو عَلَيْهِمْ آيَاتِهِ وَيُزَكِّيهِمْ وَيُعَلِّمُهُمُ الْكِتَابَ وَالْحِكْمَةَ وَإِن كَانُوا مِن قَبْلُ لَفِي ضَلَالٍ مُّبِينٍ

[ AL - JUMUA' - 2 ]
Yeye ndiye aliye mpeleka Mtume kwenye watu wasio jua kusoma, awasomee Aya zake na awatakase, na awafunze Kitabu na hikima, ijapo kuwa kabla ya haya walikuwa katika upotofu ulio dhaahiri.
 
Surat Luqman (31:34):
وَمَا تَدْرِي نَفْسٌ مَّاذَا تَكْسِبُ غَدًا
Maana: Wala nafsi yoyote haijui itachuma nini kesho.
Sheikh twende Mahakamani tukashuhudie kati kitu kimoja kikitokea. HAKI au DHULUMA.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…