Hakimi apata mpenzi mpya, tuangalie itakuwaje

george aloyce

JF-Expert Member
Aug 22, 2017
1,302
1,971
HAKIMI APATA CHOMBO MPYA

Staa wa Morocco na klabu ya PSG anayesifika kwa kuwanyoosha wanawake matapeli ametajwa kupata mchumba mpya ambaye pia ni mchezaji wa timu ya wanawake wa klabu ya PSG, binti raia wa Algeria aliyefahamika kwa jina la Nourhan.

Jamaa unaambiwa yeye ukifunga nae ndoa mirathi ashamueka mama yake mzazi ndio mmiliki wa mali zake zote, anachomiliki yeye ni mbupu tu

Hivyo kama umekuja kama jambazi kuvizia utajiri unaondoka patupu

Huyu ndio mwenyekiti wa kidunia wa chama cha wanaume wabahili (CHAWAWABA).

1715699509216.jpg
 
Hyo pisi kama imekuja Kwa lengo la kumiliki mali za bahili imeliwa
Swala tano huyo 'sidhani' kama kaenda kama yule tapeli asiye na dini.

Alafu huyu tayari anajua fika jamaa hana mali labda watakazoanza kuchuma wote so hajaja kizembe huyo mwali 😁 !!.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom