Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,776
Kha,,,,,,kivipi??
Hadi aliyekuleta duniani nae dhaifu!!!!!!!!!
Wadau yaniktk siku 365narobo/366 kwamwaka, wanawake wanayo cku 1 tu Nyingine zote haziwahusu na ikifika wanaandaa maadhimisho wanajaribu kujilinganisha na wanaume. Mwanaume ni mwanaume tuu na atabaki kuwa mwanaume. Imeandikwa Mume atamtawala mke......Mke atatii.....Mume atapenda. So kazi yenu ni kutii watawala wenu (wanaume) ππππππππ± Dah.... poleni sana. Ila maadhimisho mema.
Kha,,,,,,kivipi??
Eti siku ya wanawake iko moja tu ambayo ni march 8
hadi mama na dada zako sio
??????
Mwalimu wako ana kazi we mbulula haya ni maadhimisho
mmh sio kweli
we hamnazo kweli? kama wa2 wote wangefikiri kama ww bac hata wanaume nao wana siku moja au haujui kama kuna father's day? na haya ni maadhimisho ya cku ya wanawake, acha umbulula
Huyu naye tunategemea awe baba wa familia halaf kiongozi wa familia...... Akili za dafu
1Timotheo 2:12 Simruhusu mwanamke ye yote kufundisha au kuwa na mamlaka juu ya wanaume. Mwanamke anapaswa kukaa kimya.
wadau yaniktk siku 365narobo/366 kwamwaka, wanawake wanayo cku 1 tu nyingine zote haziwahusu na ikifika wanaandaa maadhimisho wanajaribu kujilinganisha na wanaume. Mwanaume ni mwanaume tuu na atabaki kuwa mwanaume. Imeandikwa mume atamtawala mke......mke atatii.....mume atapenda. So kazi yenu ni kutii watawala wenu (wanaume) πππ:d:d:d:dπ± Dah.... Poleni sana. Ila maadhimisho mema
1timotheo 2:12 simruhusu mwanamke ye yote kufundisha au kuwa na mamlaka juu ya wanaume. Mwanamke anapaswa kukaa kimya.