Hakika usipitwe na siku hii muhimu

Hakika usipitwe na siku hii muhimu

chepeo2013

New Member
Joined
Nov 12, 2015
Posts
1
Reaction score
0
Kwa mara nyingine tena tunapokwenda kumaliza mwaka 2015, uongozi wa Kanisa la Waadventista Wasabato Kimara lililopo maeneo ya Kimara risort- DSM umeandaa siku maalum iitwayo "SABATO YA WAGENI YA MAJIRANI" ambayo madhumuni yake ni kujumuika nawe mpendwa ambaye sio muumini wa dhehebu hili, bila kujali wewe ni dini gani, wakaribishwa tujifunze mambo makuu ya muumba wetu na nyimbo toka kwa kwaya na vikundi mbalimbali.
Ibada itaanza saa 2 asubuhi hadi saa 11 jioni , siku ya Jumamosi tarehe 28 Novemba, 2015 kutakuwepo na chakula kwa watu wote na zawadi nzuri kwa wageni wote.
NYOTE MNAKARIBISHWA
attachment.php
 

Attachments

  • kim ad.jpg
    kim ad.jpg
    39 KB · Views: 499
Mkuu heshima yako na asante kwa mwaliko. Naomba nikusahihishe tu ni kuwlimishana tu. Wengi tunakosea sana kwenye hili neno dhehebu. Kwenye kiswahili hamna kitu kama dhehebu. Kuna neno madhehebu iwe hata moja. Madhehebu ya kisabato madhehebu ya Shia madhehebu ya kilutheri siyo dhehebu la kisabato ni madhehebu ya kisabato.

Ucjali mkuu pia mm nilikuwa hivoq hivo. Badala ya saa mamluki wengi wa lugha ye2 adhim wanaita lisaa
 
Back
Top Bottom