Hakika Usimnyanyase aliye chini yako.

Fall Army Worm

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
19,370
Reaction score
14,522
Kuna jambo muhimu la kujifunza kutoka kwa Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Mh. Kikwete.
 
duh mbona maaskofu na nape wanamjaribu
Hao kwa nafasi zao haina shida, lkn mtu kama mimi Karubandika nikijidai namkosoa, basi siku zangu lazima zihesabike tu, nitaundiwa zengwe babu kubwa mpaka nijute kwanini nilizaliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…