Hakika umebarikiwa na Mungu/Allah subhanahu wa taala

Dalali wa Mjini

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2024
Posts
1,074
Reaction score
1,564
Amani iwe juu yenu wenye Imani ya Mungu.

Baraka za Mungu ziendelee kuwa na Nyinyi Amini.

Kwenye haya Maisha unakutana na watu tofauti Sana wenye roho mbaya wenye roho za Kati na wenye roho.

Hawa wenye roho mbaya wao hawajali Maisha ya watu wengine.

Hawa wenye roho za kati huwa na roho mbaya na wakati mwingine ubinadamu upo kwahiyo hubadilika na kufanya hisani Kwa waja.

Hawa wenye roho nzuri hata uwafanyie mabaya kiasi Gani wao hutabasamu na kuomba Kwa MUNGU ili ubadalike na pengine uwache roho mbaya kabisa.

Husaidia watu bila kujali malipo Yake Nini maana anaona sio kila mtu amebarikiwa Mali kwahiyo kukupa kidogo kitu basi kwakwe yeye anashukuru maana Moyo wake umetoa kwa Nia njema.

Mungu awabariki Sana Nyinyi mnaotudaidia kitu kidogo maana kwetu ni kikubwa sababu na Sisi pia husaidia familia Kwa kidogo mlichotupa.Dua za Kweli ziende kwenu waungwana hakika sote ni ndugu na sote sisi ni safari moja.

Tupo hapa duniani kufurahisha nafsi zetu na sio kuzitesa.

Nguvu ya Mungu iendelee kutulinda na husda tusiwe kama wale waliotangulia AMEEN.

usisite kunipa Kazi ya kukutafutia kiwanja au nyumba ya kununua Boss wangu.Mana dalali Mimi sichaji Hela ya usumbufu isipokuwa utanilipa mafuta ya kukufikisha eneo la tukio kwahiyo nipeni Kazi mabosi zangu nitafanya Kwa uaminifu kabisa.

#DALALIWAMJINI
0754693556
 
Kabla ya ujio wa huyo Allah kalikua na wengine kama vile baal wa wafilisiti na wote walijaribu kufuta Wayahudi kwenye ardhi yao wakashindwa, fahamu Mungu Jehovah ndiye na haitatokea aje yeyote kumzidi.
Huyu Allah aliyeletwa na muarabu Mohammad ametusababishia majanga sana Dunia kwa uwongo wake wa kuahidi wanaume mabikira 72 kila mmoja.
 
Amani iwe juu yenu wenye Imani ya Mungu.

Baraka za Mungu ziendelee kuwa na Nyinyi Amini.

Kwenye haya Maisha unakutana na watu tofauti Sana wenye roho mbaya wenye roho za Kati na wenye roho.

Hawa wenye roho mbaya wao hawajali Maisha ya watu wengine.

Hawa wenye roho za kati huwa na roho mbaya na wakati mwingine ubinadamu upo kwahiyo hubadilika na kufanya hisani Kwa waja.

Hawa wenye roho nzuri hata uwafanyie mabaya kiasi Gani wao hutabasamu na kuomba Kwa MUNGU ili ubadalike na pengine uwache roho mbaya kabisa.

Husaidia watu bila kujali malipo Yake Nini maana anaona sio kila mtu amebarikiwa Mali kwahiyo kukupa kidogo kitu basi kwakwe yeye anashukuru maana Moyo wake umetoa kwa Nia njema.

Mungu awabariki Sana Nyinyi mnaotudaidia kitu kidogo maana kwetu ni kikubwa sababu na Sisi pia husaidia familia Kwa kidogo mlichotupa.Dua za Kweli ziende kwenu waungwana hakika sote ni ndugu na sote sisi ni safari moja.

Tupo hapa duniani kufurahisha nafsi zetu na sio kuzitesa.

Nguvu ya Mungu iendelee kutulinda na husda tusiwe kama wale waliotangulia AMEEN.

usisite kunipa Kazi ya kukutafutia kiwanja au nyumba ya kununua Boss wangu.Mana dalali Mimi sichaji Hela ya usumbufu isipokuwa utanilipa mafuta ya kukufikisha eneo la tukio kwahiyo nipeni Kazi mabosi zangu nitafanya Kwa uaminifu kabisa.

#DALALIWAMJINI
0754693556
Kabla ya kuja hizi dini za kishenzi Afrika tulikuwa tumebarikiwa. Tulikuwa hatuishi kwa kuombaomba na misaada. Baada ya kuja na kutuvuruga, angalia tunavyotenzwa kama wanyama huku tukibaguliwa na kubaguana na kuibiwa hata majina yetu. Asiyeona hili ni chizi wa kutupwa. Anayesifia ukafiri huu wa kidini ni shetani mwingnine kati yetu.
 
Back
Top Bottom