Mwamba028
JF-Expert Member
- Nov 15, 2013
- 4,648
- 3,807
Unaweza kumwona mtu ana mwili flani tipwa tipwa ukamchukulia poa na kumwona mzembe flani hivi kumbe ukijichanganya unaweza kukalishwa vibaya mnoo.
Kweli sio kila kibonge ni mzembe, mana jamaa anavyojirusha huwezi amini kama ni yeye
Najua kuna vibonge wa Jf wenye vitambi vyao watakuja kutamba hapa wakati....