Hakika Prof Nabi ni mpishi mzuri wa wachezaji

Watanzania mna tabia za kijinga za kuwapenda watu kwenye nyakati nzuri.Mkifungwa kidogo mnaanza kumchukia na kutaka afukuzwe.NAUNGANA NA JAMAA ALIESEMA MNA ROHO MBAYA NA TUISHI NANYI KWA AKILI.
Mkuu Tanzania hakuna mashabiki kuna bendera fuata upepo ngoja waende kwa mazembe wakafungwe utaona subiria si tuko hapa hapa utaona watakavyo kuja kumkataa.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Kila mchezaji ni mzuri ndio maana yuko pale.

Hizi sifa zinatokana na kushinda match, kitafika kipindi Yanga watakuwa wanatoa sare au kupoteza match, na tutasikia mengine.
Yanga kufeli kwasasa na Kwa baadae hizo ni ndoto za alinacha! Ndoto za mgumba kuota kazaa au maskini kuota kaokota bulungutu la pesa au kichaa kuota kaibukia mtaa wenye dampo jipya! Ni kama eti useme siku Bill Gates akifilisika aje apitishe bakuli tandale! Au tembo eti akikonda atakuwa kama mbuzi hiyo haipoooo!!

Yanga Haina Mipango ya kufeli kama Mikia mnapigwa tu hata na Kagera sugar , Yanga Haina ujinga wa sijui kupoteza mechi ndogo ndogo hiyo iko huko Kolokoloni tu ! Nabi sio Leo kufanana na kina Mgunder!

Nabi ni kama Ferguson jamaa anajua haswa habahatishi anachohitaji ni uongozi kumpa talented players na yeye kuwajengea winning and fighting spirit basi. Nadhani tunamhitaji kwa ten to 15 years kama Ferguson au Wenger maana Nabi ana upepo wa makombe na Yanga!

Nabi ni talented coach kwa kufanya sub hiyo ni wazi kwasasa Hana mpinzani hapa duniani, nani?

ufalme wa soka wa Nabi hapa bongo ni long fucking years to come. Simba jiandaeni kuzoea maumivu for many years msijidanganye Yanga itafeli hiyo hamna ni mpaka Eng Hersi, Nabi na Kaze watimke ndo Mauno Fc mtarudi kwenye kushindana nasi. Fitna za Simba kuharibu akili za wachezaji wetu tunazijua Ona Feitoto Kawa bonge mpira unaenda kwao slowly ila Yanga ya Mzize na Musonda inazidi ku shine! Mayele hakabiki!

Just kuwakumbusha Mauno Fc huu ni mwaka wa pili mfululizo Nabi anawagaragaza Makolo ligi na makombe yote ni ajenda endelevu mpaka tuhakikishe mikia mmeshuka daraja. Huwa tunawashtukiaga sana mikia pale mnapoanzishaga harakati za kumponda Nabi!!Huwa tunajua ni nyie sio mtu wa utopolo!

Mwaka huu Mikia maji mtaita mma!
 
Kwani mnasemaje?
FB_IMG_16796256877991407.jpg
 
Back
Top Bottom