Camp Gilgal
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,453
- 4,594
Acha kupotosha mkuu. Mimi nina ndugu 4 walimu (3 ni wadada na wameolewa).1.wengi wao wana poor financial background hivyo ni rahisi kulaghaiwa hasa akikutana na mwanaume materialist.
4.jiandae kujenga ukweni ulimuona
5.jiandae kuwa na extended type of family
"Walimu siku hizi ndo chaguo la kuoa"Kwanza, najituma sio tegemezi na ombaomba sababu naelewa umuhimu wakujitafutia na kuwajibika kama binadamu wanavyopaswa.
Pili, wanaheshma kwa wanaume kama walivyo na heshma kwenye taaluma zao, wanajua nini chakusema na wakati wakukisema bila kusahau namna yakukiwasilisha.
Tatu, wengi wao wana hekma na busara sana tena wapo soft and kind in nature na wengi ndoa zao hudumu (Logical)
Nne, hawazeeki mapema/upesi hapa ninauhuakika na mtaniunga mkono.
Tano, first-ladies hasa Tanzania, hapa ndo patamu sababu namie Magogoni napatamani.
__Leo ngoja tuwasifie wanawake zetu sababu tunawapondeaga sana.
katika watu nawaogopa ni wauguzi.Kati ya mwalimu wa kike na Nurse wa kike yupi afadhali kidogo kumuoa
Teh! Kwanini mkuu?nurse sio watu
teh....... kuanza kufikiri kuoa kwa kuangalia taaluma ya mkeo ni dalili ya kutojiamini....
kuna baadhi huwaza hivi kuogopa challenges...maana kuna proffesion nyengine kama law n.k lazima challenge ziwepo..watu hawatak kwa vile walimu ni watu wenye kuridhika.
atoto ni kweli .... Evelyn Salt ni kweli hii
mwalimu....Kati ya mwalimu wa kike na Nurse wa kike yupi afadhali kidogo kumuoa
Thubutuuuuu, nimekumisimo.Basi sawa..Ngoja na mi nimpeleke wife akapige kozi
Hahahaaaaaa!!! Ngoja kwanza niajiriwe nitakujibu bwana shemeji, Maghufuli kagoma kutoa ajira.teh....... kuanza kufikiri kuoa kwa kuangalia taaluma ya mkeo ni dalili ya kutojiamini....
kuna baadhi huwaza hivi kuogopa challenges...maana kuna proffesion nyengine kama law n.k lazima challenge ziwepo..watu hawatak kwa vile walimu ni watu wenye kuridhika.
atoto ni kweli .... Evelyn Salt ni kweli hii
Teh teh teh teeeh!! Hivi wewe wanawake hawanaga jema kwako?? Itabidi tumtafute huyo alokuumiza aje akuombe msamaha.Erica mwaisumo haya ninayoongea sio kwamba naongea kwa mtu mmoja, ila waalimu asilimia kubwa ni rahisi sana, kufikia tar 15 mwlm hoi, haoo hata hela ya nauli ya kuendea kazin inasumbua hapo ndipo wanatafunwa vibaya sana, japo sio wote, kuna waalimu humu ni majembe mno. Ila wengi wapo hoi.
Teh teh..Inabidi nikupeleke ukale kozi ili uwe mke boraThubutuuuuu, nimekumisimo.
Sasa kozi ipi tena mume wangu? Au tunakwenda kozi mbili mbili?Teh teh..Inabidi nikupeleke ukale kozi ili uwe mke bora
Baada ya kumaliza kozi ya sasa ndo utaenda hukoSasa kozi ipi tena mume wangu? Au tunakwenda kozi mbili mbili?
Nikaongezee kozi au? Huu huu ualimu unanitosha, sisomi tena nimechoka.Baada ya kumaliza kozi ya sasa ndo utaenda huko
Ukarudie kozi..Mana haubehave kama mwalimu tehNikaongezee kozi au? Huu huu ualimu unanitosha, sisomi tena nimechoka.
Uko sawaa kkHawa watu wana kipaji cha ziada kutofautisha na wanawake wa kada zingine ,nadhani kitendo cha kuwa na watoto wa shule muda wote kuna mpa nafasi kubwa sana ya kupanua mawazo yake na pia kujifunza kwa hao watoto anao wafundisha ,hiyo inapelekea hata yeye kuikuza familia yake katika njia inayofaa , pia ni wavumilivu usifikirie ni mchezo kumfundisha mtoto akajua mathalani tu hesabu za kujumlisha,kutoa,kugawanya ,kutokana na huo uvumilivu ni raisi sana wao kukabiliana na changamoto za maisha au ndoa kwa ujumla wake ,
Mara nyingi watoto walio lelewa kwenye familia zenye walimu ni wenye heshima na maadili mema
Hongereni walimu wetu
Labda kuna ambavyo walimu walisahau kunifundisha, haya niandalie hizo milioni50 nikarudie kozi.Ukarudie kozi..Mana haubehave kama mwalimu teh
Duuh..Pesa zote hizo..Basi subiri mwakani nikishinda bssLabda kuna ambavyo walimu walisahau kunifundisha, haya niandalie hizo milioni50 nikarudie kozi.