Hakika Nimefika

Hongera zako, Tulizana sasa.


Habar wana JF mim ni mgen hapa i mean ndo najoin Jaman mapenzi ya kweli yapo baada ya kuteseka kwa muda mrefu nimepata pumziko la moyo wangu nampenda sana mpenzi wangu na naamini yeye ndio wangu wa Kufa na Kuzikana
 
Last edited by a moderator:
Mie nakupa pole, sijui kwa nini wadada mnafumbwa macho na maneno matam ya wanaume.
 
Maji hayapimwi kwa miguu yote yatakusomba.
 
mi mkaka hapo vi kwan mtu wako wa maisha si unamuona tu jamani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…