Hakika mapenzi ni mchezo wa ajabu sana

Status
Not open for further replies.
Huyu amekosea njia maana anatakiwa kwenda kule chekechea fb. Hakuna unashauri utakaomfaa maana bado hajitambui wala hajui maisha
 

Passege
Form 4 failure
Standard seven
Usahuri
 
Maskini!!msameheni bure!kashasema ni "mvulana"!kwahiyo hawezi kuwaza kama mwanaume!hata uandishi wake si mnauona??kiswahili peke yake kinamshinda!!huyu kama hata form four kafika ni bahati!!
 
Ukishusha mizigo huwa zinalia kama bunduki ndo mana
 
km hii stori ameitunga ama la..lakini alichokizungumza kipo tuache malumbano turudi kwa topic...huyo dem inaonyesha ulimkaribisha kwa mikono miwili coz km bi mkubwa ungemtaarifu kua huyo ni cheche angepewa vidonge na huo ndo ungekua mwisho wake kutimba skani
 
Kova mwenyewe ni mwana MMU wa kufa na kupona, yaani ukimkuta anafuatalia MMU topics hata aambiwe kuna Vibaka wa kukamata yeye anaishia kuwaambia piga bomu la machozi hao........yuko vizuri yuko addicted na MMU
wewe Elli bado hujakamatwa tu na kova maana nilimpa full madetails akudakeee.
 
Kinachonifurahisha kwa huyu dogo ni kila akikosolewa anakimbilia kuwaambia watu hawajasoma, hawa waajiri nao siku hizi sijui wanatumia vigezo gani kuajiri, huwezi kujiita msomi halafu unakuja kuandika story za ajabu humu utadhani wakina HEMEDI wa bongo Movie, karne hii kweli mtu unajisifia ufuska?.........sio ujanja mdogo wangu sikujui hunijui ila okoa familia yako na upumbavu wako, dizaini unaona sifa kufuatwa na mume wa mtu nyumbani kwenu hilo ni jambo la hatari ambalo sijui kwanini mama yako analiendekeza kwako, au wewe ndio msomi pekee katika familia yenu? acha hizo kijana bado una safari ndefu katika maisha.......miaka 21?
 
ETC = End of Thinking Capacity. Dogo ndo mwisho wake wa kuwaza, akipata pesa hana cha kufanya isipokuwa wanawake. Kwa style hiyo asahau...
 
Mapenzi mataamu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
unajua kuna Doctor mmoja aliwahi kuniambia vichaa waliopo mtaani/bararaani ni wengi kuliko wale waliopo mahospitali so sishangai huenda huyu dogo ni mmojawapo
 
demu/mke wa mtu noma...angalia kabaang hiyo
 
demu/mke wa mtu noma...angalia kabaang hiyo...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…