John_Bravo
Senior Member
- Jul 20, 2018
- 175
- 384
Huyo ni Mwanaume broh..Huyo ni mwanaume au mwanamke?
Duuh! Bas sawaHuyo ni Mwanaume broh..
#Muungwana_John
Kweli broh..watu weupe huwa wanashangaza sana,wengine hufikia hatua ya kuwa na sexual relationship na Mbwa wao kabisa..That's weird...
So kuna uwezekano wa wapiga puli baadae kuwa na akili kama hizi..??[emoji3][emoji3][emoji3]Watu wenye akili kama hzi kumbe mpaka leo Asia wapo huyu anazuga tuu alikuwa anapiga pulli tuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mimi sijasema hivyo ila kuna uwezakano huo piaSo kuna uwezekano wa wapiga puli baadae kuwa na akili kama hizi..??[emoji3][emoji3][emoji3]
#Muungwana_John
Noted...[emoji3][emoji3][emoji3]
Watu wenye akili kama hzi kumbe mpaka leo Asia wapo huyu anazuga tuu alikuwa anapiga pulli tuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Mnyama gani unaependa Jonah...??Wonders shall never end!
Navyoogopa mende mimi
Ni hisia za Mapenzi Mama.Hata wanawake wanazo[emoji3][emoji3]Hisia za wanaume zinashangaza
Nawapenda mbwa ila nao nawaogopaNi Mnyama gani unaependa Jonah...??
#Muungwana_John
Crazy feelings.Ukistaajabu ya Musa !! Pichani kijana huyo mtu mzima toka Japani kwa jina la Yuta alikuwa kwenye penzi zito na Mende aliyemshika wakiishi Kama mke na mume.
Mende huyo anadai alimnunua kutoka Africa na kumbatiza jina la Lisa mahaba Yao yalikuwa gumzo ambapo alikuwa akipeana nae penzi ndotoni kwakuwa maumbile Yao hayaendani size. So kuna Wakati yeye alikuwa anavuta picha amegeuka Mende wa kiume au mwanadada huyo Mende kumvutia picha kageuka binadamu nakupeana mahaba ya sita kwa Sita
Amesema mvuto wa mwanadada huyo Mende ni mkubwa kuliko kinadada binadamu.
Hata hivyo jamaa huyo alipata sononeko kubwa la moyo baada ya Mende huyo mpenzi wake kwa jina la Lisa kuaga dunia baada ya mwaka mmoja wa penzi Lao
Sababu ya kilichomuua mwandani wake huyo inatajwa kuwa wastani wa maisha ya Mende kuishi ni mwaka mmoja. akifunguka kwenye interview amesema ameamua kumla Kama msosi Mende huyo baada ya kifo chake Ili aendelee kuishi mwilini mwake kupunguza machungu ya kuwa mjane wa kiume akiwa bado kijana .
Tayari amejipatia umaarufu nchini mwake kwa lifestyle yake hiyo ambapo pia ni mpishi mzuri wa wadudu mbali mbali.View attachment 1008914
#Muungwana_John
Crazy in love broh...[emoji3][emoji3]
Dahh pole... too bad ningekuletea as you Birthday present...[emoji3][emoji3]Nawapenda mbwa ila nao nawaogopa