Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,209
- 162,780
Kauli anazozitoa mh. sana na mengine yanaoendelea katika awamu hii ambayo bila shaka yamemgusa karibu kila mtu kwa namna moja au nyingine, ninahakika wengi leo hii wanatamani wewe ndio ungekuwa Magogoni pengine yote haya yasingetokea.
Nina uhakika kama uliweza onyesha busara na uvumilivu mkubwa wakati wa kampeni, busara na uvumilivu huo ndio ungetumia kutuongoza.
Hivi sasa kila mtu anaipata elimu ya uraia automatically kiasi kwamba mpaka 2020 kila mtu atakuwa amejua thamani ya kura yake.
Bahati haiji mara mbili hata hivyo riziki ya mtu huwa haipotei bali hucheleweshwa tu.