MUSIGAJI
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 2,261
- 2,741
Mkuu mimi ni mpiga kura halali na nimehakiki taarifa zangu na nitampigia kuraLowasa wenzake ni mafisadi wenzake hakuna mpiga kura ambaye yupo na fisadi Lowasa.
Mkuu mimi ni mpiga kura halali na nimehakiki taarifa zangu na nitampigia kuraLowasa wenzake ni mafisadi wenzake hakuna mpiga kura ambaye yupo na fisadi Lowasa.
Lowasa ndiyo alikuwa fisadi nadani ya ccm pamoja na wenzake aliotoka nao kwenda kwa majambazi wenzake.
Kwisha habari yake akafanye kazi zake za ufisadi tu.