Hakika Lissu is destined

Hujanielewa nadhani, simaanishi donor hana nguvu ila anapewa nguvu na raia namba moja ikiwa uchumi hauko stable. Kama uchumi ukiwa stable Donor hana nguvu maana si nchi itakuwa haitegemei msaada wowote kujiendesha.

Colluding is part of the rulling game, tulishayaona hayo kipindi cha awamu ya 5. Kiongozi wa awamu ile hakutaka ku collude na donors wala wafanyabiashara. Uliona namna ambavyo alipata shida kuendesha taifa japo alikuwa na good intentions.Alipata upinzani mkali from both ends ndani na nje ya nchi ila wananchi walipata ahueni kwenye upande wa huduma za kijamii.
 
Hapo sawa mkuu.
Tatizo ujuaji mwingi si unaenda straight tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…