Lissu ni Jembe kamanda!Watu wenye akili nyingi kama hawa ndiyo wanatakiwa kuongoza wengine! badala ya vilaza wenye elimu ya kuunga unga.
Magufuli anahusika sana kwenye huu ujinga unaoendelea sasa hivi.Kabla ya Magufuli kuharibu bunge na kuua democracy na chaguzi huru, sasa nchi Ina suffer, yeah kajenga madaraja na umeme mtasema 🤔
Actually jamaa nilikuwa namwona aggressive ila sasa namwelewa sana, kumbe kuwa aggressive sometimes inatakiwa ili watu wakuskie.Watu wenye akili nyingi kama hawa ndiyo wanatakiwa kuongoza wengine! badala ya vilaza wenye elimu ya kuunga unga.
She thought kwenda kumnafikia kipindi kalazwa was a great deal.. Kumbe jamaa was ahead of the game. He's not faking it kabisa. Samia afanye analysis gani na hiyo logic anatolea wapi?Sijui kama Samia alifanya analysis vizuri kuhusu huyu mtu. Angalia wote waliomfanyia ubaya walikutwa na nini! Haya yanayomkuta Samia ni kama trela hivi
Ajuaye: “Unaniuliza mimi swali tena? Subiri nikishitakiwa, na mimi nitakukodi uniwakilishe kama wakili.”Lisu anaulizwa wewe ni mjuaji anajibu ndio Mimi ni mjuaji sana😁😁😁
Kweli kabisa. Huyu ni Nabii asiyekubalika kwaoHe's a true definion of walking your purpose... He indeed is
View attachment 3658199
Kuna watu wa wamekuja duniani ku accomplish jambo fulani mpka lliitimie, mfano wakina Gandi, kina mother Teresa, kina, Tupac Shakur...
Thse people risked their own very lives kwa ajili ya kuacha alama.
Him, too.... Maana imagine someone coming out of 16 bullets? In fact alipaswa kuwa tayari awe kafa kabisa, kuna mtu anakula bullet moja tu, then imeisha hiyo. But God saved him, then after salvation bado karudi na moto ule ule, without fear... Can you imagine how powerful of a person that is? Wengine huenda angejemga trauma na akaishia kufa kwa magonjwa nyemelezi, ila jamaa ka turn pain into power, yaani hapo tayari kashashinda katika ulimwengu wa giza. He's truly a winner.
Hakuna legend ambae atakuja kuimbwa kama huyu jamaa, he's truly a walking legend. To this point hata kama akishindwa kesi or what, he's a winner to the hearts of millions. He's truly one of a kind. Hakuna anayetamani hata kunusa kile alichopitia, and y'all out here enjoying the show.
Ndo maana wanaume wanaojielewa wanaachia ngazi, how come jina lako like lihusishwe kwenye wale walopigana kisiasa na huyu mwamba? Kama mwanaume lazima ujue how bad it is going to ruin your reputation. Ndo maana wanajitoa kabisa coz it ain't worth it.
Mimi sio mfatiliaji wa siasa ila, I can't hold to say that, this man Lissu, is a warrior.
Nilitaka kulisema hili. Ndugai, Magu mpaka kumstaafisha Mbowe siasa kwa lazima. Bado Samiah ana muda wakujirudiSijui kama Samia alifanya analysis vizuri kuhusu huyu mtu. Angalia wote waliomfanyia ubaya walikutwa na nini! Haya yanayomkuta Samia ni kama trela hivi
Sahihi kabisa sababu ujuaji sio kosa na sio aibu, sifahamu kwanini huwa hili neno linatumika kama tusi.Lisu anaulizwa wewe ni mjuaji anajibu ndio Mimi ni mjuaji sana😁😁😁
💯Magufuli alichokosea ni kutaka changes without democracy.. Na huo sio uongozi bali ni udikteta
Utafukuzwa kazi…Lissu ni Jembe kamanda!