Umeona ..???That 's true
Tena huyo ... dah! sina neno .. mtu anakukuta una shida then anakwambia ukome! Anakupaka pilipili kwenye kidonda kibichi .... Eti pesa zitaendelea kukauka mifukoni ... basi ... asiyesikia la mkuu ...umenena mkuu hakuna mwanasiasa atakae iona paradiso hasa huyu anayejiita malaika mkuu..hajaribiwi.
Hata mfalme sulemani? au yusuph?? Ukweli ni kwamba kwa sisi wa kristo biblia ina visa vingi sana vyenye mafunzo, mfano kuna kisa cha sodomana gomola mahasi na uovu ulizidi kiasi cha binadamu kutamani kuzini na malaika Mungu alipoamua kuichoma Sodoma na Gomola ambayo ilichafuka kwa kiasi kikubwa kiasi cha kuamini hakuna binadamu waliokuwa safi ila katika uovu na uchafu huo Mabinti wa Ruthu hakuwajua wanaume kwa lugha ya kileo walikuwa bikra. Na sodoma na Gomola Mungu aliiteketeza akajiokoa Ruthu na kizazi chake. The same applies kwa Nabii Joshua au Elisha ambaye alipopewa kwenda kutangaza neno la Mungu alijiona mtakatifu ni yeye tu Mungu akamuonyesha kuwa hakuwa peke yakeumenena mkuu hakuna mwanasiasa atakae iona paradiso hasa huyu anayejiita malaika mkuu..hajaribiwi.
Mkuu kilimo ni kilimo tu hata kiwe cha kujikimu. Katika maisha unaposhindwa kujikimu huwezi fanya lolote. Utakufa na njaa tu. Nikupe kisa kidogo tu!Wazo lako zuri, but mazao yakulima yako mengi lakini je! Kilimo gani kati hiv kinalipa? Migomba, tikiti maji, mbogamboga, miwa.
MbogambogaWazo lako zuri, but mazao yakulima yako mengi lakini je! Kilimo gani kati hiv kinalipa? Migomba, tikiti maji, mbogamboga, miwa.
Waungwana habari zenu!
Umemaliza masomo - ajira huna ...
Ulijitahidi kutengeneza documents za kughushi - umetumbuka
Umeshindwa kuelewana na wafanyakazi wenzio - umetumbuka
Umekuwa kimbelembele kama .... - umetumbuka
Soma tena kichwa cha habari ... hilo ndo suluhisho la kila siku....
Maisha hayaendi bila kula, kuvaa na kulala ... mengine ni nyongeza .. kikubwa zaidi ni kula kwani bila kula afya yako itakuwa mgogoro.
Lima tu - utapata chakula cha kila aina
Fuga tu - utapata kila kitoweo
Ziada ya hapo - utauza na kupata fedha kwa ajili ya mambo mengine ...
Waungwana .... hacheni kuilaumu serikali, jilaumu mwenyewe kwanza kwa kutotafakari miaka nenda rudi.
Hivi kama ungelikumbuka mnamo mwaka 2010 wakati unaangaika na wanasiasa, ukatenga muda na ardhi na kupanda miti ya mbao ipatayo 50, hivi - baada ya miaka mitano ya kisanii (maisha bora kwa kila mtanzania) ungevuna hiyo miti ungekuwa na kiasi gani cha pesa?
Mwaka huu usiishe kabla ya kupanda miti kwenye kaplot kako ili ifikapo 2021 uweze kuvuna ..
Mwanasiasa hana mpango wa kukukomboa hata siku moja ... kazi yake ni kujitangaza tu. Siasa ni kazi za kudanganya wananchi, na sina uhakika kama kweli kuna mwanasiasa ataiona paradiso.