Mahweso
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 1,098
- 1,501
Haiwezekani Raisi aagize kitu ndani ya siku moja kimetekelezwa, ni ajabu sana, inamaana wale wahusika akili zao zinakuwa zimelala? au uelewa Mdogo,
Mfano Muhimbili, Majengo kumbe yapo, ila wamefanya Maofisi, sasa kama akili zao ziko sawa walishindwa nini kujua kuwa hizi Ofisi ni kubwa kuliko Wodi za Wagonjwa? Raisi aliwaambia wahame je wako nje hawana Ofisi? Uroboti huu.
Tanzania kuna wasomi wengiiiiiiiiiiiiiiiii lakini hawazitumiii akili zao ipasavyo, ona Maprofesa tunao kibao lakini hawajawahi tueleza ni kwanini hii Nchi ni maskini, Tumekwama wapi hawajui, Magufuli ni Doctor si mchumi lakini kaja na majawabu ya umaskini wa hii Nchi, hao wasomi wamegeuka watoa sifa, tena wengine ni wachumi, Huu ni Uroboti kabisa.
Sina mengi yatosha hayo isije kuonekana nawatusi,
Aksanteni