Hakika Hawa Ladies Wamependeza Saaana

Hiyo ni biashara au upotevu? Shetani ashindwe na awaokoe hao binti wa Adamu wajijue na kujitambua na siyo kutumiwa kama masanamu ya dukani (Mannequins). Nimemkumbuka NyaniNgabu na miafrika ndivyo ilivyo ingawa na mizungu iko hivyo hivyo.
 
DAH, WA KWANZA KULIA NA WATATU KULIA NI VITU VYA UKWELI KABISA..WATOTO WANAITA, WATOTO HAWANA DHAMBI, WATOTO WANAWAKA, WATOTO SOFT, WATOTO...!

Naandika herufi kubwa kuonesha msisitizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…