Hakika chama changu CCM sasa kimezeeka

Mkuu huku kujengeana majumba ni utaratibu tu(sina uhakika kama upo kwenye katiba), Haya yote yote hayalisaidii taifa lazima kufanyike mabadiliko hasa ya kifikra ndani ya chama
Swali lake ni kuwa kwanini haya haukuyaongea wakati mwendazake bado yuko Chamwino?
Hebu mjibu hilo swali.
 
Asante ndugu. Hayo ni mahekalu na magari ya kifahari. Eti wanetumikia taifa, walikaa bure wakiwa tangu mawaziri hadi urais. Wanahela chungu mzima. Wanapension kiboko, watumishi etc. hivi kuku/bata gani alianzisha hiyo sharia. Juzi tuliambiwa serikAli haina hela, wao wanahela zao tu JK Ana Nyumba ngapi? Huyo alikuwa waziri wa madini wakati wa madudu ya contracts. Ana hela kibao. Jamani, this is a joke! Tuamke jamani. They don’t deserve such generous pensions.
 
Chama cha maibilisi kijani kibichi ni empty head tabulalasa kwelikweli .
 
Na usikute walikaa kamati kujadili zawadi
Na tuna vijana wanaojinasibu kuwa wao ni wasomi
 
Ndani ya CCM hakuna mwenye nia njema na wananchi wote ni wachunaji
 
Ndani ya CCM hakuna mwenye nia njema na wananchi wote ni wachunaji
Na hili wameambukiza mpaka vyama vingine,na kada mbalimbali serikalini,mtu ukipewa kitengo unawaza kuvuna tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…