Hakika anaumwa tumuombee apone

Dirty mind!!!!You might be a mere walking corpse!!!!
 
Huteuliwi ng 'oo..... Hata ukijipendekeza
 


Tundu Lisu ni psycho!
 



wewe kitendo cha kupigwa risasi Lissu hujakifurahia? Ukweli ni kwamba kinachokuuma ni Lissu kuendelea kuwa hai, mlikusudia mabaya sasa mna hasira sana, nadhani mmefikia kiwango cha kumchukia Mungu aliyemponya. Kwa nini mlikuwa mnawazuia na kuwakamata watu waliokuwa wanamwombea Lissu? Mna pepo baya sana. Uongo gani wa kujifanya kuwa mna uchungu na nchi wakati miaka 50 mmeila ninyi maccm?
 
Shetani na ushetani hujibainisha wenyewe. Tunamshukuru Mungu kwa kutupa wanadamu uwezo wa kulitambua hilo.
 
blix22,
Kama hujijui basi wewe unatakiwa tukupeleke ICU....!!Wewe ndo mgonjwa typical ambaye hujitambui, huoni wala husikii.
Ulichoandika hapa ni upumbaf. ujinga, uzandiki, umbeya na propaganda ambazo hazina tija yoyote kwa Taifa letu....!!
Ngoja nikwambie my friend, ukiwa unaoga mtoni akaja kichaa akabeba nguo zako kama wewe una akili TIMAMU, hutakurupuka kuanza kufukuzana na huyo kichaa baali busara itakutuma UCHUTAME mpaka hapo mtu mwingine mwenye akili TIMAMU atakapo kustiri na nguo yake ili utoke mtoni....!!!Unanielewa???

Sasa twende kwenye mada ya Tundu Lisuu:
Unazungumzia Lugha: Swahili or English....!!!Kwa akili mbovu uliyonayo kama Lissu angetumia English ilikuwa ni kuishtaki Serikali ya CCM na Magufuli kwa mataifa ya nje which is very irrelevant and immaterrial! Hivi wewe unafikiri magazeti yote ya Kiingereza yanapoandika habari zake huwa habari zote za wahusika zimekusanywa kwa Kiingereza?? Kampuni ya Magazeti inaweza kupeleka mwandishi wa Kiswahili lakini habari ileile wakaifasiri kwa Kiswahili ikibeba the same content au kinyume chake..!! Hivo language is not an issue here...!!

Watu siyo wapuuzi na wajinga kama wewe! Watu wako updated na kila news inayotokea whether in Tanzania or Kenya and anywhere in the World. Tukio la kupigwa risasi 38 kwa Mhe. Tundu Lissu zilitikisa dunia nzima and people all over the World are still watching what's going on...!!!
Kuhusu Samia Suluhu kwenda kwa Lissu alifanya kupitia tu hospitali ya Nairobi na kama asingelikwenda kuhudhuria kuapishwa kwa Rais Uhuru Kenyatta asingelienda. Tunaona una mtetea Job Ndugai kuwa alikwenda hospitali pale Dodoma na Ummi Mwalimu baada ya Lissu kupigwa risasi ni kweli!! Je, baada ya hapo nini amefanya huyo Spika wa Bunge?? Kulingana na Lissu hata ile fedha ya matibabu ya Lissu kama haki yake kama Mbunge wa BJMT bado haijalipwa/kulipwa mpaka leo!!

Kuna siku Umi Mwalimu-Waziri wa Afya alijitokeza mbele ya media akidai kuwa serikali ipo tayari kulipia gharama zote za matibabu ya Lissu popote pale duniani..!!!Lakini ukweli wenyewe mpaka leo hii hakuna walichofanya Bunge na Serikali. Kwa watu makini huu ulikuwa ni kuweweseka kwa Serikali baada ya kuona mlengwa wa kupotezwa ameendelea ku-survive kiminujiza...!!Huwezi kushindana na Mungu asilan..!!

Job Ndugai alipoulizwa na Waandishi wa Habari kwanini hajaendda kumwona Lissu alitoa visingizio vya kitoto kabisa...! Kwamba Kenya ilikuwa kwenye Uchaguzi na vurugu ndo maana hajakwenda na akaahidi kuwa baada ya Sikuukuu za Mwaka mpya angelikwenda Nairobi....!!Mpaka leo hajakanyaga huko wala kutuma mwakilishi wa Bunge...!!

Rais Magufuli zaidi ya ku-tweet kuwa anampa pole Lissu na ameagiza vyombo vya ulinzi na Usalama vifuatilie lakini mpaka leo hakuna hata inzi wa kusingiziwa..!!Kuna maswali ndani ya mioyo ya watu kama vile kwanini mpaka leo Jeshi la Polisi halijafanya lolote? Kwanini zile CCTV camera zilizoko kwenye nyumba ya Medard Kalemani- Waziri Nishati na Madini zinazoangaliana na nyumba ya Lissu na eneo alilopigiwa risasi 38 Tundu Lissu zimengolewa?

Kwanini baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi na Watanzania kuamua kujitolea Damu na Maombi lakini Polisi waliinglia kati kuzuia michango ya Damu na Maombi...?? Nani alimtuma IGP Siro na Jeshi la Polisi kuzuia mambo hayo kana kwamba ni makosa ya kijinai..??? Katika hili Ziro na Polisi wake wamekosa weledi au wanatekeleza maelekezo toka juu kuwa wasifanye lolote kwasababu issue inafahamika..!!Maana kama Polisi wana nia ya dhati ya kuwakamata na kuwatambua waliompiga Tundu Lissu kitu cha KWANZA ILIKUWA NI KUCHUNGUZA ZILE CCTV CAMERA MAANA ZITAKUWA ZIMECHUKUA TUKIO LOTE MWANZO MWISHO....!!!Hii kusingizia sijui Interpol wamezuiliwa kumhoji Lissu ni propganda za kishenxx na danganya toto....!!!

Kuhusu kuhojiwa kwa Dreva wa Tundu Lissu ni upuuzi kudai kuwa Polisi wameshindwa kumpata huyo Dreva wa Lisu kwa vile yuko Nairobi..!!Dreva huyu ndiye aliyesaidia kuokoa maisha ya Lissu baada ya kumsukumia alalie upande wake huku yeye akiruka na kuingia kwenye uvungu wa gari lililokuwa pale jirani. Lakini kama hiyo haitoshi, Dreva huyu alikuwepo muda wote tangu Lissu alivyopigwa Risasi mchana ule pale Dodoma na picha zilimwonyesha akiwa ameshikilia nguo za Lissu zilizokuwa zimetapakaa damu. Polisi walikuwa wapi kumkamata huyo Dreva??

Mungu hamfichi MNAFIKI the day is coming when all these barbaric acts shall be revealed in a bright day!!! Kila kitu kitawekwa hadharani..... Time gonna tell....!!

Wasaalamu.
 
Umeongelea mambo mawili tu, salam na uchunguzi. Hujaongelea serikali kuhusika na Magufuli kusema mtu anayeikosoa serikali asiachwe anatembea
 
Nina hakika mgonjwa ni wewe na waliokutumia kuandika propaganda hii. Jiulize umefanikiwa kupata nini kwa porojo hii?

Nilichojiridhisha una ujasiri wa kuandika upuuzi kwa ufasaha. Ukitumia uelewa huu kusikiliza ubongo wako kuandika ungekuwa na mchango mzuri.

Nakushauri rudisha mikono ya saa nyuma uwasaidie wasiojulikana kukamilisha mradi wenu wa uovu.
 
Watu wasiojulikana ndo we mmoja wapo natamani nikutusi.
 
Una pepo gani wewe kawahi foleni ukatubu unajua Lissu na Makamu wa Rais waliongea nini walipobaki wawili? Ninaamini Lissu aliambiwa Rais alimzuia asiende lakini yeye akalazimisha ndio apo unaona wanacheka wote.Sasa sijui wewe nimsemaji wa nani lakini pia uwezi kujibu hoja zilizoishinda serkali.Tetea kibarua chako ili watoto waende shule.
 
Yaani katika I mani ya kanisa katoliki huwezi hamisha kibanda cha kitubio ukaahirisha kutubu wakati padri yupo tubu tu hata nje ya kibanda cha kitubio
 

Ichumu lya,
Unajua maana ya pepo au umekaririshwa....??????
Pepo ni roho chafu ya kishetani yenye upako wa KUUA,KUTESA au KUDHURU......!
Sasa basi, nani mwenye pepo kati ya WALIOTAKA KUMUUA LISSU AU WANAOSHANGILIA MATESO YAKE na WANAOLAANI NA KUPINGA KITENDO CHA KUTAKA KUMDHURU TL????
Tuacheni unafiki na TUSEME KWELI NA HIYO KWELI ITATUWEKA HURU......!!!
Acha ushabikii wa UKANDA na UKABILA..........huo ni ushetani perce!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…