Hakika anaumwa tumuombee apone

Mkuu wewe ndo mwenye tatizo, hivi hamkuwa na plan B?. Jamaa ndo kanusurika hivyo
 
K
Tuache kujitoa ufahamu kwa ushabiki na mahaba ya kisiasa. Tueleze wewe amesimulia nini so far ambacho kilikuwa hakijulikani zaidi ya kuwa alipigwa risasi Dodoma. Na wahusika hawajakamatwa.
Kasisitiza nilichokuwa nakiamini kwamba alihujumiwa na serekali. Mkuu pamoja na porojo zooote, hebu toa maoni yako hivi unalichukuliaje hili la polisi kukamata yeyote anaye vaa nguo iliyo andikwa "pray for Lissu".
 
Jamani nduguzanguni watanzania huyu Tundu Lissu bado ni mgonjwa na kauli zake zinazopingana zenyewe inaonyesha hata akili yake imecheza kwa maana ya kwamba haijakaa sawa .Mambo anayoyaongea siyo ya kuyafuatilia na kuyatillia maanani.Na ndiyo maana hata katika imani nyingine mgonjwa aliyechanganyikiwa akiandika wosia wake unapuuzwa.
 
At least yeye ni mgonjwa na yupo kwenye matibabu,mbona wewe mngonjwa na matibabu hutafuti?Stuka wahi hospitali kabla halibijawa mbaya.
 
Mhmm! Mkuu kawahi matibabu bwana
 

Mbona mna wagonjwa wengi japo hawajalazwa ila kila sku wapo kwenye front pages?
 
Mgonjwa gani anaelazimisha kutembelewaa hata Baba wa Taifa alilazwa London na siyo wote waliofanikiwa kwenda kumuona sembuse huyu msalitiii, yeye kazi kulalamika tu, analilia msaada wa Serikali huku walishasema chama kina uwezo jinga zao kabisa
 
HOFU YANGU NI ILE RISASI ILIYOBAKI MWILINI, MUNGU AEPUSHE MBALI ISIWE IMEBAKI KICHWANI MAANA SIKU IKISOGEA KIDOGO TU ANAWEZA KUWAAIBISHA WATU HUMU KWA KUFUATA MKONDO WA MADIWANI WANAOZIDI UFAHAMU UKWELI NA KUJIUNGA NA JESHI KUBWA. RAFIKI ZANGU SIJUI MTAANDIKA NINI. NAWAZA TU KWA KINA.
 
Dalili yakuwa na cheti fake, njaa imehamia kichwani
 
Watu wengine wanafiki, anakuua huku anacheka,samia alikwenda baada ya kuona aibu kufika Nairobi kwa ajili ya kuapishwa rais uhuru na kurudi bila kupitia kwa Lissu,
Huyo Lissu ndio nani mpaka asalimiweee shiiit acheni ujingaa kulamisha watu wafanye fadhila
 
kati ya mambo ambayo chadema wamekosea, ni ule mkutano wa jana waliouandaa kwa ajili ya kuitukana serikali.
 

Tafuta Muda uende kwenye Mitandaoni ya Jamii sina kinachoendelea Zimbabwe.Mpaka watoto wa Mugabe wanashtakiwa lea kosa la kutumia kibaya Madaraka,kuua na kuiba.

Subirini same yenu
 


Vipi kuhusu yule aliyekiri hadharani kuwa ana frustration naye anafaa kupuuzwa kwa sababu kila alisemalo ni matokeo ya frustration zake?
 
Haya ndiyo madhara ya kupata madaraka kwa kusukumizwa. Vunja katiba, teka, shoot, poteza,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…