Nguli sijakuelewa haki ya mnyama iko wapi wakati jamaa kaonyesha mfano? Anakwenda umbali mrefu na mnyama wake lazima atakuwa amechoka so inabidi ambebe maana yeye si kabebwa na baiskeli? lol

Sioni kama kafungwa kamba...angekuwa amefungwa kamba ningesema pengine labda anaumia. Lakini kwa muonekano wa hiyo picha, inaonekana kama vile mbuzi kamshikilia jamaa. So whats the fuss?

Hiyo haki ya mnyama inaanza na kuishia wapi? Maana kila siku ng'ombe, mbuzi, kuku, na wengineo wanapoteza maisha kwa kuchinjwa. Je, wanyama hao hawana haki ya kuishi? Au ikija kwenye kitoweo kuna "exception"?