Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,576
- 12,375
Daa. Inauma sana..
Nje ya mada mkubwa tangu nikujue leo ndo nimeona uzi wako
Lakini mbona Kuna miaka kama miwili hivi yule Jamaa Casto aliulizwa kwenye kipindi flani kinaitwa The play list akasema anamtoto kwa Huyo mwanadada na akataja Na jina!
Kwanini huyo Jamaa hakushtuka?
rekebisha lugha brother......huwezi kumjua mwanamume mwenzio...labda kama wewe.........ni.....Daa. Inauma sana..
Nje ya mada mkubwa tangu nikujue leo ndo nimeona uzi wako
Pole sana inauma mnoHili swala linanigusa binafsi mkuu
Kuna dada yangu mtoto wa dingi mkubwa aliachwa kwenye urithi kisa mama yake alimwambia dingi mkubwa kuwa binti si wake.
Bahati mbaya yule maza alifariki kabla ya kumaliza tofauti na dingi mkubwa.
Basi dingi mkubwa akabaki na kinyongo licha binti kufanana sana na baba yake hakumsomesha wala nini, hadi anafariki kamwacha nje ya wosia aisee.