Haki za Binadamu Gerezani, UN ilijadili hili

bushland

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2015
Posts
7,015
Reaction score
4,999
Wakuu Habari za Leo, naomba kidogo tuone Hill swala LA haki za kibinadamu huko magerezani, Wafungwa wa wapo Gerezani hupewa haki Zote muhimu za kibinadamu Kama vile chaKula, mavazi na malazi, lakini swala Moja muhimu limesahaulika nalo ni tendo LA ndoa

Tendo La ndoa Nitendo LA hiari Katika mwili na ubongo wa binadamu, umoja WA Mataifa kupitia Jumuiya ya haki za Binadamu Ili wahi jadili Hili swala kuwa Wanandoa walio magerezani wape we chumba Maalumu cha faragha kwa ajili ya kukutana Kimwili na wanza wao, vivyo hivo na kwa. Walio na wapenzi.

Ila Naona Hili swala hadi sasa bado haijafikia Muafaka,Naona lingeondoa uchafu mkubwa huko magerezani Kama kweli haya mambo yapo huko
 
Haki hiyo ipo japo kwa kiwango kidogo ndiyo sababu wafungwa wanawake hutoka gerezani wakiwa na watoto wachanga.
Hapana mkuu hiyo sheria kupitishwa bado, ingepitishwa ingesaidia Sana kuondoa Sodoma na Gomorrah kabisa huko gerezani
 
Human rights walishajadili Sana Hili swala ila Naona halijapitiswa

Wangechangisha michango kwaajili ya kuweka miundombinu hiyo kama walivyofanya kuwa na shirika la chakula duniani.
 
Kunyimwa tendo ni sehemu pia ya kifungo

Mungu atujalie wake kwa waume tuwe raia wema daima

Na mabalaa ya kusingiziwa yatuepuke Amin
 
Aisee umegusa sehemu muhimu sana aisee tuliowahi kufungwa tunaelewa hii issue.
Wakuu Habari za Leo, naomba kidogo tuone Hill swala LA haki za kibinadamu huko magerezani, Wafungwa wa wapo Gerezani hupewa haki Zote muhimu za kibinadamu Kama vile chaKula, mavazi na malazi, lakini swala Moja muhimu limesahaulika nalo ni tendo LA ndoa

Tendo La ndoa Nitendo LA hiari Katika mwili na ubongo wa binadamu, umoja WA Mataifa kupitia Jumuiya ya haki za Binadamu Ili wahi jadili Hili swala kuwa Wanandoa walio magerezani wape we chumba Maalumu cha faragha kwa ajili ya kukutana Kimwili na wanza wao, vivyo hivo na kwa. Walio na wapenzi.

Ila Naona Hili swala hadi sasa bado haijafikia Muafaka,Naona lingeondoa uchafu mkubwa huko magerezani Kama kweli haya mambo yapo huko
 
Sasa kama haki hii itatolewa kwa walio gerezani na wenzi wao je itakua vipi kwa wale ambao wake zao wako majumbani
 
Back
Top Bottom