Haki yangu ya Kupiga Kura | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haki yangu ya Kupiga Kura

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by The Farmer, Sep 9, 2010.

 1. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2010
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,585
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Wana JF Habarini za mchana.

  Nahitaji msaada wa ufafanuzi kidogo kwenye swala zima la wagomea waliopita bila ya kupingwa ambao ni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kutakuwa na modality gani itakayotumika siku ya Uchaguzi kwenye majimbo yao (Kwa mfano jombo la Mizengo Pinda). Mini nikiwa kama raia wa Tanzania mwenye haki ya kupiga kura na nisiyetaka kumpigia kura kura mgombea husika.

  Haki yangu ya kupiga kura siku ya tarehe 31 ndio itakuwa imepotea?
   
Loading...