Haki ya Wapalestina

Sisi kama Iran tutasimama na Palestine hata kama dunia nzima mtawatenga
 
Tsh Hawa palestina wapo vitani mda wote ila siku wakipata amani nakutulia usishangae Tanzania tukapitwa kiuchumi🤔
Hahaha, utasikia Palestina yatoa msaada wa maendeleo ya kijamii ikiwemo uchimbaji wa vyoo.
 
je ninwapalestina wangapi wamefungwa bila hatia na kinyume na haki?
Hivi hatia ni nini? tuanzie hapo, zamani niliamini hizo kauli za bila hatia
kuja kufuatilia nikakuta,mtu anaona gari la polisi anawarushia mawe,akikamatwa na kuhukumiwa mnasema hana hatia.Hebu jaribu kufanya hivyo hapa kwetu uone kama utachekewa.
 
Hahaha, utasikia Palestina yatoa msaada wa maendeleo ya kijamii ikiwemo uchimbaji wa vyoo.
Kama Tanzania tulipaswa kuwa taifa la kwanza kwa uchumi Africa huwa binafsi naona hivyo kwa nchi nilizowahi kutembelea Africa 😅
 
Reactions: Tsh
Kama Tanzania tulipaswa kuwa taifa la kwanza kwa uchumi Africa huwa binafsi naona hivyo kwa nchi nilizowahi kutembelea Africa 😅
Tanzania nchi kubwa na mpaka leo kuna mambo hatuyamudu na ni mjini kabisa achilia mbali vijijini.
 
Mkuu Tanzania ina watu wana akili wengi tu ila kuna namna vilaza ndio wapo juu😭😭😭
Tanzania nchi kubwa na mpaka leo kuna mambo hatuyamudu na ni mjini kabisa achilia mbali vijijini.
 
Reactions: Tsh
Mkuu Tanzania ina watu wana akili wengi tu ila kuna namna vilaza ndio wapo juu😭😭😭
Kwamba ng'ombe ndo anachunga kundi la masai? Haiwezekani mkuu, ukiona akili ndogo inaongoza akili kubwa kwa muda mrefu ujue hiyo inayojiita akili kubwa hamna kitu. Yaani tangu awamu ya mwinyi akili kubwa ipo tu inaongozwa na vilaza? Nakataa.

Akili ndogo hata uipe majeshi, silaha na mambo yote bado akili kubwa itapata tu namna ya kuonyesha kuwa ni akili kubwa. Sokwe, nyani wana nguvu mno ila binadamu tumewakusanya porini huko sababu tumewazidi akili.
 
Mkuu bado tunaishi na maisha bado yanaendelea hauwezi kujua mbeleni tuupe wakati mda😅
 
Mkuu bado tunaishi na maisha bado yanaendelea hauwezi kujua mbeleni tuupe wakati mda😅
Hahaha, sasa hapo inamaana unasema tusubiri huko mbele akili kubwa kuzidi za wanaotuongoza zije ila kwa sasa waliopo wametuzidi akili. Sisi ng'ombe wao masai.

Huwezi niambia waziri na mbunge tangu 1995 ana akili ndogo kuliko wanaojiita akili kubwa hapa JF huku anawaongoza tangu 1995 na mwanae anaandaliwa kuwaongoza. Yeye hata kama ni kilaza hao wanaoongozwa ni vilaza zaidi.
 
Dah ni ngumu kutetea hili ila sisi ni waoga hakika ikiwemo na mimi sijui tupoje yani🤣🤣
 
Reactions: Tsh
Jina palestina liliwakilisha waarabu na wayahud chief. Cjui unawazungumzia akina nani hapo?
 
Kwani kati ya Israel na Jordan nani amepora ardhi kubwa ya Palestina?
 
Hilo halipo,maana Afaghanistan,Libya na iraq hakuna waisrael wanauana wenyewe kwa wenyewe
kama ilivyokuwa zamani fimbo zilivyokuwa zikitembea misikiti ya kwa mtoro na mwembechai
Wanauwana kwa kuanzishwa vikundi na Hao waliozivamia hizo nchi
 
Jina palestina liliwakilisha waarabu na wayahud chief. Cjui unawazungumzia akina nani hapo?
palestina ni taifa,sio kabila,ndani ya nchi hiyo kuna kila kabila,wapo wayahudi,waarabu,na kabila nyingi
 
Hongera sana ndugu kwa hayo maneno uliyoandika.
Nimefurahi kuona bado kuna watanzania wenye uelewa wa ukweli kuhusu dunia inavyoenda na propaganda zake.

Kwa kuongezea ni kwamba wale wayahudi feki pale Israel sio wayahudi halisi, wale wanafahamika kama ashkanazi Jews ambao ni sinagogi la shetani, wako pale kupotosha kwamba wao ndio Israel halisi na wakati sivyo.
Kwa kuongezea ni kwamba wayahudi halisi ni watu weusi na sio hao wazungu feki.

Mwenyezi Mungu hajawahi kuumba mzungu, ila hao ni viumbe toka kuzimu wenye mission zao za kutimiza utawala wa shetani hapa duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…