Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 53,730
- 99,603
Sasa na wewe ndiyo umefanyaje hapo?Umelalamika tu mwanzo mwisho.Uandishi wenye misingi yake na ujumbe kufika nao ni kipaji.Hata humu kuna watu wanaandika maneno mabaya dhidi ya wapalestina,tena bila ushahidi wala kutafuta ukweli.
Wapalestina wanaonewa kwa kiwango cha ajabu,wapenda haki ni lazima tuwatetee,propaganda za hovyo dhidi ya wapalestina hazina maana yoyote,tuepuke kutoa shutuma kwa wapalestina mara ooh sijui waislamu mara oh wao ndio wameanza,mara ohh hiyo ardhi ya wayahudi walipewa na Mungu,wanauawa
Wazee,watoto,wanawake,wasio na hatia,njama za waziwazi za kuwaua ili waishe wote,lakini Mungu yupo ipo siku atawapa haki yao.Mungu sio dhulumati.Mimi ni mkristo japo sio niliyeshika dini sana,na mmoja wa wazazi wangu anatoka ulaya magharibu,roho inaniuma sahana jinsi wapalestina wanavyouliwa,ila ipo siku historia itajibu huu udulumati
Wanaonewa nini? Wana serikali yao na raisi wao na eneo lao chokochoko kwa Israel za nini ? Kila mtu akae kwake aendelee na mambo yake..Asante,muhimu kuliko yote elewa wapalestina wanaonewa,sibabaiki kwa hiyo lugha unayotumia,mtu anapojishusha chini kabisa kimaafili,fawa sio kwenda chini aliko bali ni kwenda juu sana,kumuonesha kuwa ustaarabu ni kipimo cha utu
Tatizo la Palestina ni Iran ndio maana unaona nchi nyingi za kiarabu zinaendelea tu na mambo yao Iran ndio mchochezi mkuu wa mgogoro Palestina
Wanaonewa nini? Wana serikali yao na raisi wao na eneo lao chokochoko kwa Israel za nini ? Kila mtu akae kwake aendelee na mambo yake..
Wapalestina wanapigana vita vya kidini ,Israel inapigania ardhi yake sio dini ndio maana kuna uungwaji mkono mkubwa kwa Israel kimataifa kuliko Palestina wapigania Allah
Kushabikia vita ya kidini ndio kunawasumbua Wapalestina vinginevyo wangeweza ishi vizuri tu kwa amani bila shida
Udini wa Iran sumu mbaya inayovuruga Palestina
Dua ya haki haipingwi hata ikichelewa ila ushindi kwa wenye haki lazima wataupata ,,tuko pamoja mkuuHata humu kuna watu wanaandika maneno mabaya dhidi ya wapalestina,tena bila ushahidi wala kutafuta ukweli.
Wapalestina wanaonewa kwa kiwango cha ajabu,wapenda haki ni lazima tuwatetee,propaganda za hovyo dhidi ya wapalestina hazina maana yoyote,tuepuke kutoa shutuma kwa wapalestina mara ooh sijui waislamu mara oh wao ndio wameanza,mara ohh hiyo ardhi ya wayahudi walipewa na Mungu,wanauawa
Wazee,watoto,wanawake,wasio na hatia,njama za waziwazi za kuwaua ili waishe wote,lakini Mungu yupo ipo siku atawapa haki yao.Mungu sio dhulumati.Mimi ni mkristo japo sio niliyeshika dini sana,na mmoja wa wazazi wangu anatoka ulaya magharibu,roho inaniuma sana jinsi wapalestina wanavyouliwa,ila ipo siku historia itajibu huu udulumati
Hakuna mkristo anayejielewa akatetea upuuzi wa Israel ..(anayejielewa )Kenge wewe mbona ya oktoba 7 hukuleta Uzi halafu ulivyokua mwehu eti unasema wewe ni mkristo Ili kujiwekea Kinga mapema
ShukraniDua ya haki haipingwi hata ikichelewa ila ushindi kwa wenye haki lazima wataupata ,,tuko pamoja mkuu
PoleHamna kuonewa watoke hapo sio kwao ni Kwa myahudi shenzi kabisa hzo wapalestina na wazidi kuuwawa wanakalia ardhi ya myahudi
Siku HAMAS ilipo vamia ISRAEL wakaua, na kuteka raia wa Israel na wa nchi mbali mbali ikiwemo Tanzania. Yani Nchi za kiarabu walikuwa wakipiga ngumi hewani wakisema Takibirrrr , wengine wakijibu Allah Akbar!
Yani ilikuwa ni Furaha kwao, hawakujali waliuwa na kuumiza mioyo ya wengine, watoto na wanawake wa wengine.
Walivyo anaza kupigwa walitamba TULIJIANDAA kwa vita ya muda mrefu, Mara hii Israel hachomoi.
Kipigo kilivyo zidi tukaanza kusikia wanaua WANAWAKE na WATOTO. Jamaa walipoongeza kipigo tukasikia, wanauwa wagonjwa mahospitalini, na mara wanauwa watoa huduma za kijamii.
Jamani, Binafsi napenda sana VITA hasa kwa watu vichwa ngumu wasiotaka suluhu na binadamu wenzao, kujidai wao ndio wanajua sana haki, au kujua kuidai.
Palestina wapewe haki yao na Mungu yupi? Palestina na waarabu wenzao hawataki kutambua uwepo wa taifa la Israel, lakini wanataka Israel itambue uwepo wa taifa la Palestina. Kama sio uwenda wazimu ni nini?
Hutaki kumtambua jirani yako lakini unataka yeye akutambue wewe.
Iran inawadanganya, kama Iran inataka kupigana na Israel ipigane wazi wazi bila kujificha migongoni mwa makundi kama HAMAS na HEZBOLLAH.
Zipigwe kavu kavu man to man, hakuna kuamulia wala cease fire, mpaka kieleweke, tupate mshindi wa wazi, ama Israel au Iran.
NAPENDA VITA na VITA HULETA HESHIMA.
kushindwa kuelewa kitu,ni shida ya wengi lakini usijali ipo siku ukweli utaujuaSasa na wewe ndiyo umefanyaje hapo?Umelalamika tu mwanzo mwisho.Uandishi wenye misingi yake na ujumbe kufika nao ni kipaji.
Umewashutumu wengine huku wewe mwenyewe kujieleza ni mgogoro.kushindwa kuelewa kitu,ni shida ya wengi lakini usijali ipo siku ukweli utaujua
jifunze kuelewa hoja na unapotaka kuelewa hoja ni lazima upunguze jazba,ni lazima uwe tayari kumsikiliza mwenzio ili ujue nini cha kujibuUmewashutumu wengine huku wewe mwenyewe kujieleza ni mgogoro.
Kama Dunia inataka amani mashariki ya kati, kama inataka wapalestina na Wayahudi waishi kwa amani, lazima itafutwe njia ya kuidhibiti Iran. Iran ndiye shetani mkubwa hapo Mashariki ya kati, siyo tu kwa Wayahudi na wapalestina bali kwa nchi zote za Mashariki ya kati.sijakushauri wewe au mwingine chochote bali nasema wapalestina wanaonewa,vyombo vya kidunia vinavyohusika viwatetee.
Jitokeze hadhari basi uandamane katikati ya mji pale askari monument watakuja wenzako kukusapoti wakinaHata humu kuna watu wanaandika maneno mabaya dhidi ya wapalestina,tena bila ushahidi wala kutafuta ukweli.
Wapalestina wanaonewa kwa kiwango cha ajabu,wapenda haki ni lazima tuwatetee,propaganda za hovyo dhidi ya wapalestina hazina maana yoyote,tuepuke kutoa shutuma kwa wapalestina mara ooh sijui waislamu mara oh wao ndio wameanza,mara ohh hiyo ardhi ya wayahudi walipewa na Mungu,wanauawa
Wazee,watoto,wanawake,wasio na hatia,njama za waziwazi za kuwaua ili waishe wote,lakini Mungu yupo ipo siku atawapa haki yao.Mungu sio dhulumati.Mimi ni mkristo japo sio niliyeshika dini sana,na mmoja wa wazazi wangu anatoka ulaya magharibu,roho inaniuma sana jinsi wapalestina wanavyouliwa,ila ipo siku historia itajibu huu udulumati
Fuatilia baada ya uanzishwaji wa Mamlaka ya ndani ya Palestina, hali ilikuwaje. Kutokea pale, fuatilia, ni nani walianzisha yale mashambulio ya kuua wengine kwa mashambulio ya kujitoa mhanga. Na ufuatilie mashambulio yale yalikuwa yanatokea Westbank au Gaza. Fuatilia pia kiasi cha Oesa ambayo Israel ilikuwa inaipa Serikali ya mjini Ramallah, na idafi ya Wapalestina waliokuwa wameajiriwa na taasisi mbalimbali ndani ya Israel. Fuatilia, ujue ujenzi wa miundombinu mbalimbali pamoja na makazi ya watu yaliyojengwa na Setikali ya Israel kwaajili waplestina huko Gaza na Westbank.joulize kitu,kabla ya tukio.hilo udhalimu uliofanywa na waisraeli dhidi ya wapalestina ni mkubwa mno,tusiangalie jambo hili kwa uvamizi wa hamas wa october 7,tutende haki pande zote
Hapa ndipo unapokosea bro,anzia hapa,nani kadhulumu ardhi ya mwenzie? je ni wapalestina wangapi wameuawa na waisraeli? je ninwapalestina wangapi wamefungwa bila hatia na kinyume na haki?Fuatilia baada ya uanzishwaji wa Mamlaka ya ndani ya Palestina, hali ilikuwaje. Kutokea pale, fuatilia, ni nani walianzisha yale mashambulio ya kuua wengine kwa mashambulio ya kujitoa mhanga. Na ufuatilie mashambulio yale yalikuwa yanatokea Westbank au Gaza. Fuatilia pia kiasi cha Oesa ambayo Israel ilikuwa inaipa Serikali ya mjini Ramallah, na idafi ya Wapalestina waliokuwa wameajiriwa na taasisi mbalimbali ndani ya Israel. Fuatilia, ujue ujenzi wa miundombinu mbalimbali pamoja na makazi ya watu yaliyojengwa na Setikali ya Israel kwaajili waplestina huko Gaza na Westbank.
Hakika ilichokuwa ikifanya Israel kwa wapalestina baada ya makubaliano yale, hata sisi hapa kwetu Serikali haifanya: ujenzi wa nyumba za makazi, umeme bure, maji bure, barabara nzuri za lami mitaani, mishahara mizuri hata kwa kazi zisizo za ujuzi.
Huu ndio ukweli,kama anawapenda,awahamishie irani awape ardhi sawa na eneo la palestina yeye ahamie hapo ili apigane na israel vizuri.Iran inawadanganya, k
Hilo halipo,maana Afaghanistan,Libya na iraq hakuna waisrael wanauana wenyewe kwa wenyeweTsh Hawa palestina wapo vitani mda wote ila siku wakipata amani nakutulia usishangae Tanzania tukapitwa kiuchumi🤔