Haki ya Mungu UKAWA hamtoki na jimbo mkoani kwangu

Tolaga maganza tolaga maganza kwa shy land. Mambo yote M4C magufuli for change.
 
Yaani nimeanza kusoma nikijua kuna tatizo kumbe ni hadithi za alfu lela ulelaa..
 
Tolaga maganza tolaga maganza kwa shy land. Mambo yote M4C magufuli for change.

Naaapa mbele yako mkuu ambatombana benaba wakitoka na jumbo moja tu mkoani Shinyanga najiua. Haki ya mungu nasema
 
Kama Tanzania igekuwa na watu wenye uelewa mkubwa kitu walichokifanya Wa kina mbowe na washega wake chama chao kigekufa asubuhi tu

Maana haiwezekani unihubiri miaka minane kwamba lowassa ni mwizi, fisadi na alajihuzulu kwa kelele zenu,

Leo mnakuja tena munanieleza lowassa ni mtu mchapa kazi na siyo mwizi ndani ya miezi miwili.

Kama ni kweli lowassa siyo mwizi nitakwamini vipi tena kwa maana umeshaonyesha dalili za uongo mapema tu, kabla sijakupigia kura chama chako kiingie madarakani.

Nasikitika na kulia nimevuja miko yangu ya kutoipingia kura ccm katika maisha yangu yote

Kwa kutaka kuwaonyesha kwamba hili genge lenu LA kihuni hamchukui nchi mkoa wangu wa Shinyanga hamtoki hata na jimbo moja nahakikisha natumia nguvu na akili zangu zote kuhakikiasha nafanikisha hilo

Na ukawa mkitoka na jinbo hata moja mkoani kwangu haki ya Mungu najiua.

Ushauri kwa wana ccm na wazelendo Wa kweli katika chii hii kuhakikisha tunatumia nguvu zetu zote kuhakikisha kundi hili LA wanyan'ganyi na wapinga dili hawafiki ikulu kwa njia yoyote

Usijali si vema tukakutupia maneno makali. Tuliza Jazba. Mtuhumiwa huburuzwa mahakamani, na mahakama humtia hatiani .. vipi hapo ulipata japo saa moja ya kutafakari hili!

Jambo nikutonye, serikali huwa inawapaka matope viongozi wake Mbele ya jamii ili wasije kutwaa madaraka baadae. Fikiria hii
 
Kazi unayo ngoja tukutumie kamba ya kujinyonga nakupa pole sna jiandalie kaburi kuapia c jambo la utani.Inshaallah utimize ahadi yako uliyoiweka
 
Kama Tanzania igekuwa na watu wenye uelewa mkubwa kitu walichokifanya Wa kina mbowe na washega wake chama chao kigekufa asubuhi tu

Maana haiwezekani unihubiri miaka minane kwamba lowassa ni mwizi, fisadi na alajihuzulu kwa kelele zenu,

Leo mnakuja tena munanieleza lowassa ni mtu mchapa kazi na siyo mwizi ndani ya miezi miwili.

Kama ni kweli lowassa siyo mwizi nitakwamini vipi tena kwa maana umeshaonyesha dalili za uongo mapema tu, kabla sijakupigia kura chama chako kiingie madarakani.

Nasikitika na kulia nimevuja miko yangu ya kutoipingia kura ccm katika maisha yangu yote

Kwa kutaka kuwaonyesha kwamba hili genge lenu LA kihuni hamchukui nchi mkoa wangu wa Shinyanga hamtoki hata na jimbo moja nahakikisha natumia nguvu na akili zangu zote kuhakikiasha nafanikisha hilo

Na ukawa mkitoka na jinbo hata moja mkoani kwangu haki ya Mungu najiua.

Ushauri kwa wana ccm na wazelendo Wa kweli katika chii hii kuhakikisha tunatumia nguvu zetu zote kuhakikisha kundi hili LA wanyan'ganyi na wapinga dili hawafiki ikulu kwa njia yoyote

Onyo'anokho ebhe!

Hivi unaijua UKAWA wewe? Mwulize hawara yako Masele hapa mjini tunamfanyaje! Mwulize Nchambi kule Kishapu tunamfanyaje, Mwulize Kishimba kule Kahama mjini tunamfanyaje!! Utajuta kuijua UKAWA, Onyo'anokho ebhe!! Mimi najua hatutapata lile jimbo la katikati ya miguu ya nokho!
 
Mkuu chadema yangu niipenda sana... Mkuu kila Nikita ushawishi akili imkubali lowassa nafisi inisuta na ninajuta sana kumshauri mzee wangu kujiunga na chadema mwaka Jana na akashida umwenyekiti Wa kitingoji kupitia chadema.

Chizi yoyote anaweza kutamka huu uharo.
 
Naaapa mbele yako mkuu ambatombana benaba wakitoka na jumbo moja tu mkoani Shinyanga najiua. Haki ya mungu nasema

Jiue tu kabisa maana Lowassa ndiye Rais wako anayesubiria kuapishwa. Hilo halina ubishi!!
 
yani hii aibu inaonyesha ninyi masisiem mmeshagawana mpaka mikoa, maana magufuli anasema tanzania ya magufuli naww unasema shinyanga ni mkoa wako. Oct 25 lazima tufanye ukombozi
 
Mtoa mada hajielewi. Upo wapi ushahidI wa ufisadi wa majembe? Kula buku 4 yako ya ccm nenda ngokolo matopeni kale viroba
 
Kama Tanzania igekuwa na watu wenye uelewa mkubwa kitu walichokifanya Wa kina mbowe na washega wake chama chao kigekufa asubuhi tu

Maana haiwezekani unihubiri miaka minane kwamba lowassa ni mwizi, fisadi na alajihuzulu kwa kelele zenu,

Leo mnakuja tena munanieleza lowassa ni mtu mchapa kazi na siyo mwizi ndani ya miezi miwili.

Kama ni kweli lowassa siyo mwizi nitakwamini vipi tena kwa maana umeshaonyesha dalili za uongo mapema tu, kabla sijakupigia kura chama chako kiingie madarakani.

Nasikitika na kulia nimevuja miko yangu ya kutoipingia kura ccm katika maisha yangu yote

Kwa kutaka kuwaonyesha kwamba hili genge lenu LA kihuni hamchukui nchi mkoa wangu wa Shinyanga hamtoki hata na jimbo moja nahakikisha natumia nguvu na akili zangu zote kuhakikiasha nafanikisha hilo

Na ukawa mkitoka na jinbo hata moja mkoani kwangu haki ya Mungu najiua.

Ushauri kwa wana ccm na wazelendo Wa kweli katika chii hii kuhakikisha tunatumia nguvu zetu zote kuhakikisha kundi hili LA wanyan'ganyi na wapinga dili hawafiki ikulu kwa njia yoyote
Hivi wewe aliyekwambia UKAWA wanataka kutoka ni nani UKAWA watabaki kila jimbo hadi ikulu ili waongoze nchi. Allowance za kupost huo upuuzi wenu zimepanda in these final 30 days.
 
Back
Top Bottom