The Boss nayajua maisha ya uswahilini vizuri sana, kila siku hapaishi vituko na ndio maana pamoja na mazingira magumu na hatarishi yaliyowazunguka watu wa ushahilini lakini wana maisha marefu na afya tele.....................LOLlol
hivi ukiishi nyumba hizi
una haki ya kulalamika nani anapiga chabo?
Duh mambo ya uswaz bwana, vituko huwa haviishi kama si hiki basi kile, ila tabia ya kuchabo ni maaruf na ni ya kawaida sana maeneo hayo, ten tu si wanawake wakioga, kuna watu ni maarufu kuchungulia wenzao wakibanjuana...
hujambo wewe?
mzima
huna hamu ya kulishwa hivi karibuni? lol