Suip
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 1,338
- 803
Wataalam wa humu JF naomba kufahamishwa Stahili ya Mtumishi yeyote wa Halmashauri je anapohamishwa kituo cha kazi ndani ya Halmashauri husika, anastahili kulipwaje kwa Ngazi ya Mshahara wa TGHS B mathalan analipwa Tsh 562,000/=?
Kwani hakuna uwazi kwa malipo utakuta mtumishi kahamishwa toka Mwaka 2013 mpaka leo hajalipwa anadai tu na hajui anadai kiasi gani.
Kwa anayefahamu tafadhali asaidie na kanuni inasemaje kwani Maafisa Utumishi wengi hawako wazi na watumishi wengi wa ngazi ya chini wananyanyasika.