Crispin Nyoni
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 413
- 90
Wadau salamu sana.Naomba niwe muwazi kwenu ili mnisaidie.
Huku Songea kuna mtaa unaitwa bombambili.Nilibahatika kumpata mdada fulani akasema hana mume.Nikawa nalala hadi kwao naye anakuja kulala kwangu.
Juzi kanipa taarifa kuwa ana mimba na mume wake anarudi ijumaa ijayo akitokea Malawi, na anataka akatoe mimba ili kuepuka fedheha kwa mumewe.Nikawambia mbona ulinihakikishia huna mume?Akasema samahani alibanwa na maisha na hakujua kama mumewe angerudi maana ni mfanya biashara na alikata mawasiliano akawa hapatikani.
Sasa wadau mimi nadai mwanangu na sitaki atoe ila amekazana kuwa lazima atoe.Hebu wadau nifanyeje kupigania haki yangu?
Nisaidieni kabla hajatoa.Nimemtisha kwa mengi ila anasema hakuna cha kumzuia maana mimba ipo kwake anafanya anachotaka.Nifanyeje?

Nakushauri akitoa mimba nenda kamwambie mume wake Ukweli hili iwe fundisho kwake
mkuu mie naomba tu unifafanulie hapo nilipo bold
kwani sijawahi kuona mwanaume ukaenda kumpigia
paipu mwanamke nyumbani kwao tena hadi ukafikia
hatua ya kumpa mimba,
vipi wazazi wake walikupa idhini ya kumchapaia nyumbani kwao...??
Labda tuanzie hapo kwanza.