Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,342
- 9,824
October 7, 2015 Jerry Brown, Governor wa California alikutwa na wakati wa maamuzi. Alipaswa kuamua au kusign au kuto kusign muswada utakaowezesha haki ya kukatisha uhai kulindwa na katiba.
Muswada huu ungewawezesha watu wenye magonjwa ya kukatisha uhai katika hatua za mwisho, kutumia dawa zenye uwezo wa kukatisha uhai na hivyo kuwapumzisha kwa amani. Hii iliifanya California kuwa State ya tano Marekani kuhalalisha "haki ya kufa ".
Je, haki ya kufa inalindwa kikatiba?
Huko Marekani, ndio. Hapa kwetu, sijui.
Nataka kusema nini?
Leo hii, Serikali ya Magufuli imetengeneza mazingira mazuri ya biashara na wafanya biashara kufa.
-> Unafanyaje ukiwa na mtaji wa billion tatu kwenye biashara ya viroba halafu unapoamka asubuhi unasikia viroba ni haramu wakati kodi ya serikali umeshalipa? na automatically mtaji wako unakuwa haramu.
-> Unafanyaje unapoletewa malimbikizo ya kodi ya miaka saba ulipe ndani ya siku saba?
–> Unafanyaje unapokuwa na jina / brand kibiashara uliyoitengeneza kwa jasho alafu asubuhi tu, bilaeushahidi, unatangazwa gwiji wa madawa ya kulevya?
-> Unafanyaje pale unalokuwa na mali kwenye fremu halafu haiuziki kwasababu tu wateja hawana fedha? Yani, kibiashara unakuwa masikini mwenye mali. Unakuwa na gari
halafu unatamaani maisha ya mtu mwenye baiskeli.
* Biashara nyingi sasa ziko kwenye wakati mgumu sana na wadeni ( taasisi za fedha) hawanaga utaratibu wa kuelewa hili.
->> Yaani unapoteza uhai wa biashara, labda na wako kwasababu ya maamuzi ya hovyo ya serikali. Hii ndiyo nayoita haki ya kufa!!