Haki sawaaaa

Hapo mfumo dume kazini!! Bado haki si sawa
 
Hii mimi nimeikataa coz nimeifananisha na mama anayetoka shamba na kuni kichwani, majembe mkononi na mtoto mgongoni!! Huku baba kashika kiredio anasikiliza, upo hapo ndugu?
 
Mbona waliopewa mizigo mizito wakina Mama, kulikoni hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…