Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
Mkuu hawa sio watu wa kawaida inaweza ikawa ni majini watu,tia akilini hiyo mkuu.Kweli unampakuwa kidume mwenzako yaani ni wa kuchinja kabisa hii mijitu
Utaonyeshaje kuwa unauchukia ukoma, na kumtofautisha mkoma na ukoma,
Kwa vile unachukia ukoma basi utamfukuza mwenye ukoma?
Unisaidie majawabu, tu icubate okoma kwenye jamii yetu huku tukijichanganya nayo tukitarajia kubaki salama!!!!
LOS ANGELES (WLS)- President Obama claimed the mantle of champion for the LGBT community Wednesday night, telling a group of 600 gay and lesbian donors at a star-studded fundraiser that he could not be prouder of his administrations work to advance fairness and equality.
Huna nia njema, nawe si miongoni mwa waombao ufalme wa mbinguni uje/ufike. ufalme wa mungu hauchangamani na kifiro!!!!
Kwa maoni yako unawaona hawa gays/lesbians ni wabaya, okay, sasa tufanye nini nao wakati tunao na tunaendelea kuwa nao? Tuwatenge? Wasiajiriwe? Tusichangamane nao katika shughuli na maisha ya kila siku?
tusiwadhuru, tu-evacuate wakazi wote wa kisiwa cha mafia, tutangaze ya kuwa wajitokeze waathirika wa tabia hii wajitokeze, tuwapeleke woote mafia na kupitisha sheria huku ya kuwa ni kosa lenye kugharimu uhai ukibainika, jamii hiyo itajimaliza yenyewe huko mafia kwa kutokurutubishana mayai yafanyayo kiumbe!!!!
Tumekuwa na kawaida ya kulaumu tu bila kuangalia sheria ambazo huongozwa na sheriamama ambayo ni katiba ya nchi. Katiba ya nchi haikatazi ushoga, bali inakazia haki za msingi za uhuru wa kila binadamu.
Mashoga wapo wengi tu gays/lesbians na tunawaona kila siku na sheria inawalinda kama raia wenye haki ya kupata maisha, ajira na haki nyingine kwa msingi wa haki za binadamu.
Wanaopinga baadhi tumewaendekeza binti kujinafsisha kama lesbians kwa ajili ya kulinda ubikira wao ili waolewapo waonekana wako fresh. Hayo yako karibu mabara yote duniani.
Leo mambo haya huongelea na kuonekana hadharani na kwa uwazi sababu ya mawasiliano kuwa rahisi, lakini wakati huo yatokeayo kijiji fulani waliokuwa wanayafahamu na hao na yaliishia kwao. Ni dalili wazi mambo haya yapo.
Tunachopaswa kukemea ni kuwalea vijana kujiepusha na vitendo hivyo na kukemea kwamba utamaduni huo sio mzuri kwa vile si mpango wa Mungu katika kushiriki uumbaji wake. Kwa waliokwisha athirika na mfumo huo hakuna njia nyingine ya kuwatema katika jamii kwa vile wana haki za msingi kama binadamu na hata haki ya kupata huduma za kijamii na ajira ni halali yao.
Gay and Lesbian Rights
Kwa kufanya hivyo kuna kazi ya ziada ya kufanya kwanza kutengeneza njia ya lami ya kupitisha watu hao.
- Katiba ya nchi ibadilike na kuweka wazi kifungu cha kuwabagua au kuwakataa katika nchi yetu.
- Pili tukubali kuwa kinyume cha tamko la haki za binadamu tuliloridhia kutoka umoja wa mataifa ambao tu si washiriki tu bali wanachama. Je, nini kitatokea?
CS ww ni shoga au basha?
Wakati unapanga point zako uwe juu ya msingi huu, haki kuu ya binadamu ni kufa!!!! kwa sababu ingekuwa ni kuishi tungesha pitisha azimio na kupiga marufuku utumiaji na utengenezaji wa silaha duniani, umeongopewa kuwa sisi ni wanachama waliopitisha hizo haki za binadamu, tumepewa huo wimbo tuuimbe, sio wetu.