Haki huinua Taifa

Haki huinua Taifa

Chadema wamejipambanua katika Ilani Bora kabisa ya kurejesha haki na tabasamu kwa mtanzania.

Haki ya kuongezwa mshahara

FAO la kujitoa kurudisha
 
Chadema inapendwa CCM inaogopwa.

Magufuli anataka kura

Lissu anaomba kura.

Magufuli anafokea wananchi

Lissu anelimisha wananchi
 
Kheri James atishishia kumuua Tundu Lissu kwa kutumia Sindano ya Sumu

 
Back
Top Bottom