Hakatwi mtu hapaaa! Lowassa anaaminika kwa wengi

Hv huku vichwani tuna ubongo au tuna uji mzito tena yawezekana wa dona!PESA ZOTE ANAZOZITUMIA HATA KM NI WEWE ATAZIRUDISHA VIPI?TUSIWE NA NJAA YA KUFIKIRI HATA KWA JAMBO DOGO KM ILI.
HATA KAMA TUNAPEWA BUKU 5 ZA KUNUNUA 8mb STILL TUSIWE WATUMWA WA KUFIKILI JAPO KWA UPEO MDOGO TU AMBAO MWENYEZI MUNGU AMETUPATIA BURE.
HATA KM NI UHURU WENU WA NANI MTUMIKIE LAKINI MNAKERA SASA
 

Alishavuka hio level hta nanyi mnalijua hilo ndio maana upande wa kambi zenu wooote MATUMBO NI MOTO.

Ukweli ndio huo LOWASSA KAWAZIDI KILA CORNER Mmebakia na ubwatukaji tu.
 
Majuzikati nlikua mkoa fulani nikaona Yutong ya huyu mshikaji na wabinua matak.0 kama kawa. Nikajiwazia hakika mwaka huu kwa jinsi wadanganyika walivyo wanafiki na wasio na mikakati ya muda mrefu, uwezekano wa Ibilisi kuketi patakatifu ni mkubwa. Hapo chacha akina Mwanakijiji & co itabidi mtafute pa kujificha.
 

hauna akili kamwambie awalipe bodaboda wa moshi aliowakodisha na kuwanyima hela zao uje kutwambia anakubalia,pia kamkubushe miilion 300 alizopeleka arumeru kwenye jimbo la NASARI WAKATI WA UCHAGUZI WA UBUNGE kumsaidia ndugu yake na nasari akashinda wakachukua laki laki alizokuwa anatoa na kumchangia NASARI, AMELOGWA LOWASA SIO BURE.

 

wala patakatifu shetani hawezi kukaa na hatakaa kamwe,anashindana na wenye dora,
 
Nguvu ya Lowasa ni Pesa tu, kinyume na hapo mweupe tu.
 
..pamoja na tuhuma za ufisadi dhidi ya Lowasa, siye tunaounga mkono upinzani tutamshukuru huyu jamaa daima kwa mchango wake mkubwa sana katika juhudi za kumuondoa "mkoloni mweusi" pale Magogoni.

pigana baba Lowasa hakuna kulala..... pigana baba wasafishie njia UKAWA.
 
Shetani ana aminika na watu wengi sana kuliko Lowasa lakini bado shetani huyo huyo hawezi Kuingia Mbunguni na hatakiwi kabisa.
Kazi ya shetani ipo Mikononi mwa Lowasa kuhakikisha kuwa anakusanya wengi kwenda nao motoni
 
Lowassa anaaminika kwa hao madereva wa bodaboda anaowapa Shs 10,000 na lita tatu za mafuta kila mahali ili wakampokee?

Kwa hao wanachama wa ccm wanaopewa posho au nauli ili wamdhamini ?

Kwa yale makundi ya watu waliolipwa ili wamwombe agombee?

Kama ndivyo, basi ngamia atapita kwenye tundu la sindano kuliko Lowassa kupata urais wa Tanzania.
 

Mkuu umepagusa penyewe kabisa naona jamaa hawana msimamo kabisa yani ni bendera fata upepo maana mara makongoro,membe,mwigulu,makamba,sitta,agustino ramadhani na sasa mwakyembe yani wanatapatapa tu huku the super leader kasimama palepale na hata humu jamvini nikifungua tu nakutana na mgombea mpya baada ya siku moja wana mlinganisha na el na ghafla kapotea,ila wakae wajue hii ni safari ya MATUMAINI ambayo huezi izuia na MKONO na kama wanamchukia waambieni wakaunganishe nguvu zao kati ya EL na hao wagombea36 walobaki na mwaka huu waendelee kulamba limao mpaka 2025 na kama vipi vyama vipo vingi ama nape na sitta si wana kale kaCCJ chao wakaibue basi.EL NDO RAIS WETU KAMA HUTAKI LIMAO LINAUZWA 100 AMA OTESHENI MALIMAO ILI MSISUMBUKE MPAKA 2025
 
SIJAWAHI ONA JAMBO LA AINA HII KABISA YAANI WAGOMBEA WOTE WA URAIS KUMSHAMBULIA MGOMBEA MMOJA TU TENA KWA NGUVU NGUVU ZOTE BILA AIBU,YAANI NINYI NYOTE 30 NA USHEE KUANGUASHA GADHABU ZENU KWA KIUMBE MMOJA TU/hakika haijapata tokea

Ni kwa sababu ameupania sana uraisi tokea akitoa hela mosques and kanisani.pia social networks zimeanza kazi kumfagilia mda mrefu sana
 
ccm wana hali mbaya sana dhidi ya lowasa.ameteka wajumbe karibu wote wa mkutano mkuu na NEC. hawapumui wala hawakohoi...
 
kinachonishangaza lowasa anapata wazamini maelfu wakati wanaotakiwa kila mkoa ni 45 tu,mimi naona CCM itabidi iweke sheria kuwa mtu asizidishe wadhamini 45,maana hawa wanaodhaminiwa na maelfu wengi wanatowa hela,eti wadhamini elfu 34,wakati wanaotakiwa ni 45 tu.Jamani hii ni kucreate matabaka mtu anaonekana anapedwa kumbe alishaweka mizizi ya pesa long time
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…