Niwie radhi... BUT I AM SO VERY MAD....
Baba Mtoto.... NARUDI TENA!!!!
Kwanza nakupongeza kwa mahusiano mazuri uloweka dhidi ya wewe na mwanao mpaka ana confidence in you ya confide each and everything kwako.... Kwa hilo am so proud of you mana wanaume wachache wana muda mfinyu kumuwezesha amzoe/wazoe na kuwajua watoto wao. Really, I am proud of you.
Pili hiyo issue ni kubwa mno... Na ukisosea wewe na mkeo jinsi ya kuitatua mtaharibu kila kitu. Naomba kukujulisha kua ni muhimu saana bintiyo ajue what she said has not affected anything, kua kila kitu kiko normal - akigundua tu kua kimeleta tension humo ndani, next time hata kama bado wewe ni bff wake hatarudia kukwambia which is more dangerous. Kwa binti ambae yuko almost ten years she has a right to know kuhusiana na mambo yahusio sex na hata kua a expect menustration periods (watoto wakike wanavunja ungo siku hizi kati ya 8 - 12, ni wachache zaidi ya hapo); bahati mbaya mama si muelewa hii ilikua ni kazi yake kumwambia. Wewe pia waweza mwelekeza but haipendezi....
Nashindwa kuelewa kwa nini mke wako alitaka kumchapa, haina logic; and please muelekeze, mueleweshe kaharibu kabisa trust ya mwanenu - na mtoto ili aelewe everything is alright kwa mtazamo wangu mkeo anatakiwa amuombe msamaha mtoto wenu; kamkosea (Katika issue kama hizi muite mtoto mulekeze kama vile unaongea na mtu mzima - ataelewa zaidi na next time atasema).
Wewe Kijana Juzi ni mwanaume, hivyo you understand zaidi hata kuliko mimi kua from the explanations ya mtoto huyu baba ana tabia chafu. Usichukue maamuzi makubwa ya hasira, ila kwa mtazamo wangu inatakiwa mfuate na mwambie mzee binti yangu kanisumulia unapenda sana kumchezea naomba huo mchezo ufe! Ukiface hata kama ana nia hiyo chafu kwa mwanao, possibility ya kurudia haitakuwepo. Ana bahati huyo baba simfamhumu, tungefika mbali, achezee wanawake woote atakavyo lakini si mtoto mdogo..... Sometimes wanajamii tunaona na hatufanyi kitu,,,,INASIKITISHA....